Bilal
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Dk. Mohammed Gharib Bilal

Dk. Bilal na ‘wimbo’ wa wawekezaji
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mohammed Gharib Bilal, amejiunga kwenye orodha ya wanaokataa kuona madhara ya uchimbaji madini ya uranium nchini.
Amenukuriwa akisema kuwa mradi wa uranium katika mto Mkuju, wilayani Namtumbo mkoa wa Ruvuma, utakuwa wa manufaa makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla.

Kumbe watu tunao, sasa tatizo nini?
NILIJISIKIA faraja kubwa wiki iliyopita wakati nilipoona picha ya wawakilishi wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa nchini Uturuki uliozungumzia Maendeleo ya Nchi Masikini.

Kikwete ‘afukuza bundi’ Zanzibar
HATIMAYE ndoto ya Dk. Mohammed Gharib Bilal imetimia. Kukurukakara zake za miaka kumi zimezaa matunda na tayari amerudi ulingoni.

Mpango wa Kikwete, Karume wakamilika
- Ni wa kumpa urais Dk. Shein Zanzibar
- Bilal kutegemea fadhila za rais mpya
MKAKATI wa marais Jakaya Kikwete na Amani Karume wa kumfanya Dk. Ali Mohammed Shein kuwa rais wa Zanzibar, sasa umekamilika.

Wanaotaka urais Zanzibar kupitia CCM matumbo moto
NANI atapenya Zanzibar? Nani ataishia njiani? Nani ataibuka Mgombea Mwenza wa Jakaya Kikwete? Jibu litapatikana baada ya vikao vya uteuzi.

Dk. Bilal amtisha Rais Kikwete
- Ni ikiwa hatamteua kugombea urais Zanzibar
- Mabilioni yamwagwa kutoka Uarabuni
- Mbunge Rostam Aziz ahusishwa
RAIS Jakaya Kikwete ametishiwa. Ameambiwa asipopitisha jina la Dk. Mohammed Gharib Billal katika kinyang’anyiro cha urais visiwani Zanzibar, yeye na chama chake “watakiona cha moto.â€