Kombani


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Celina Kombani

Mbasha Asenga's picture

JK: Kombani, Ghasia wa nini?


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 09 May 2012

IJUMAA iliyopita Rais Jakaya Kikwete alifanya kile ambacho wengi hawakutarajia kwamba angekifanya. Hakutarajiwa avunje utamaduni wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua hatua za kuwajibisha wezi na wakosaji wengine katika ofisi za umma.

Mbasha Asenga's picture

Mkuchika, Werema, Kombani na hulka ya ‘unazi’ serikalini


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 28 September 2011

NILIPATA kusema moja ya matatizo ya taifa hili ni kuwa na viongozi ‘wanazi’. Waweza kuwaita wakereketwa wasioongozwa na hekima na busara wala kanuni na taratibu za kisheria katika utendaji kazi wao.

Kinachowasukuma ni ushabiki wa ovyo wa kisiasa.

Nikawataja watu wawili – Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

Mbasha Asenga's picture

Jaji Werema, Kombani wamedoda, watupishe


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 20 April 2011

MIONGONI mwa viongozi wa serikali wa awamu ya nne walioteuliwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, ni Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

Mbasha Asenga's picture

Werema, Kombani mnasimamia lipi?


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 05 January 2011

NINAPOWATAZAMA walokole wawe wa Kikristo au Kiislam ninathubutu kuwafananisha na viongozi wawili katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

editor's picture

Wasomaji wamwandama Kombani


Na editor - Imechapwa 15 December 2010

WIKI iliyopita, Ndimara Tegambwage  alichambua kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani aliyesema katiba mpya haina maslahi kwa serikali wala taifa. Ufuatao ni mrejesho wa wasomaji kwa njia ya ujumbe wa simu (sms).

Ndimara Tegambwage's picture

Waziri Kombani ametukana wananchi


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 08 December 2010

CELINA Kombani – Waziri wa Sheria na Katiba, ametukana Watanzania. Hata akiomba radhi hatakubaliwa.

Ndimara Tegambwage's picture

Katiba mpya haihitaji masharti


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 15 October 2010

MSUKUMO wa kudai katiba mpya “katika mazingira ya amani” ili kuepusha vurugu nchini, umezidi kuimarika.

Saed Kubenea's picture

Waziri Kombani ndani ya sakata la Jery Muro


Na Saed Kubenea - Imechapwa 24 February 2010

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani anachunguzwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, MwanaHALISI limeelezwa.

editor's picture

CCM iache kunyang'anya


Na editor - Imechapwa 20 January 2010

UKISOMA "Taarifa Maalum" ya Waziri wa Nchi Ofisi ya waziri Mkuu (TAMISEMI), Celina Kombani kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika 25 Oktoba mwaka jana, utaamini uchaguzi haukuwa na tatizo hata moja.