Masaburi


Mlolongo wa habari zinazomhusu Dk. Didas Masaburi

Mwandishi wetu's picture

Masaburi hatarini kung’olewa


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 07 March 2012

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi, aweza kufukuzwa kwenye nafasi yake wakati wowote, imefahamika.

Mwandishi wetu's picture

Masaburi kwenye tope jipya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 29 February 2012

HATUA ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk.  Didas Masaburi kuunga mkono ununuzi wa mabasi mapya kwa kampuni ya usafiri Dar es Salaam (UDA), imechukuliwa kuwa “uasi” kwa serikali.

Jabir Idrissa's picture

Masaburi akalia kuti kavu


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 10 August 2011

MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi ameliingiza Shirika la Usafiri la Dar es Salaam (UDA) katika mgogoro mkubwa wa kisheria kufuatia hatua yake ya kukaidi agizo la ofisi ya waziri mkuu, MwanaHALISI limebaini.

editor's picture

Mizizi ya ufisadi haijifichi


Na editor - Imechapwa 10 August 2011

MALUMBANO yanayosikika kati ya Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didus Masaburi na wabunge wa jiji, yanajenga taswira maalum katika taifa.