Masha


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Lawrence Masha

Saed Kubenea's picture

Mawaziri wapya: Chama kilekile, muundaji yuleyule


Na Saed Kubenea - Imechapwa 02 May 2012

“FUKUZA mawaziri wanane au ondoka mwenyewe.” Je, hii ni amri? Ni shinikizo? Ni maelekezo tu?

M. M. Mwanakijiji's picture

Marmo, Masha wametuachia fundisho


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 10 November 2010

WANANCHI wa Mbulu, mkoani Manyara na Nyamagana mkoani Mwanza, wamechukua uamuzi sahihi. Wamekataa kuburuzwa na wale walijipachika “Umungu mtu” – Laurence Masha (Nyamagana) na Phillip Marmo (Mbulu).

Mwandishi wetu's picture

Mama wa Masha kortini


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 27 October 2010

MAMA mzazi wa Lawrence Masha, waziri wa mambo ya ndani na mgombea ubunge wa jimbo la Nyamagana, Mwanza, yuko hatarini kuburuzwa kortini kujibu tuhuma za kutoa ushahidi wa uongo katika Mahakama Kuu kanda ya Mwanza.

Saed Kubenea's picture

Ya Bashe, Kikwete, Masha na serikali ya gizani


Na Saed Kubenea - Imechapwa 15 September 2010

KITENDAWILI cha uraia wa Hussein Bashe, mgombea ubunge Nzega (CCM) aliyeenguliwa, kimeibua mapya.

Mwandishi wetu's picture

Wenje, Masha, Nyamagana hapatoshi


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 08 September 2010

EZEKIA Dibongo Wenje (32) amerejeshwa katika kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Nyamagana, mkoani Mwanza. Anagombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Ezekiel Kamwaga's picture

Waziri Masha kaumbuka


Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 01 September 2010

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha, anadaiwa kusema uongo katika pingamizi lake kwa mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza.

Alloyce Komba's picture

Masha hakustahili 'Mambo ya Ndani'


Na Alloyce Komba - Imechapwa 21 July 2009

KIROJA cha Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha kuhusu "mradi wa vitambulisho vya uraia," kimedhihirisha kuwa hakustahili kuongoza wizara hii.

Saed Kubenea's picture

Waziri Masha hasemi ukweli


Na Saed Kubenea - Imechapwa 14 July 2009

SAKATA la mradi wa vitambulisho vya taifa, wenye thamani ya Sh. 200 bilioni bado halijafa. Waziri Mambo ya Ndani, Lawrence Masha, wala hajajibu hoja za wabunge na umma kwa jumla, juu ya kilichosababisha mradi huo kukwama.

Saed Kubenea's picture

Masha agonganisha serikali na Ujerumani


Na Saed Kubenea - Imechapwa 28 April 2009

Atuhumiwa kutumia madaraka vibaya
Ubelgiji nayo kukoromea serikali

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha ameingiza serikali katika mgogoro mkubwa na wafadhili kutokana na madai ya matumizi mabaya ya madaraka, MwanaHALISI limeelezwa.

Mbasha Asenga's picture

Masha anajikaanga mwenyewe


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 18 February 2009

NI kawaida kwa wanasiasa kila wanapolikoroga kuibuka na kutafuta vizingizio lukuki juu ya chanzo cha makosa yao wenyewe. Ni nadra sana mwanasiasa kukiri makosa yake mwenyewe.  Huu ndiyo umekuwa utamaduni wa miaka nenda rudi.

editor's picture

Masha sasa achunguzwe


Na editor - Imechapwa 18 February 2009

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha anatuhumiwa. Anadaiwa kuingilia isivyopasa mchakato wa kutafuta mzabuni wa kutengeneza vitambulisho vya taifa.

Saed Kubenea's picture

Vigogo wahaha kumwokoa Masha


Na Saed Kubenea - Imechapwa 11 February 2009

Wafanya vikao hadi usiku
Baba yake atinga bungeni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, ambaye katika misingi ya utawala bora angekuwa ameshajiuzulu au amefukuzwa kazi, sasa ameanza kukingiwa kifua, MwanaHALISI limeelezwa.

Saed Kubenea's picture

Kikwete kumfukuza Masha?


Na Saed Kubenea - Imechapwa 04 February 2009

Ni kutokana na zabuni ya vitambulisho
Adaiwa kumpotosha Waziri Mkuu Pinda

RAIS Jakaya Kikwete huenda akalazimika kumtosa  Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence  Masha kutokana na kashfa mbichi inayomkabili, MwanaHALISI limeelezwa.

Mwandishi Maalum's picture

Waziri Masha okoa Zimamoto


Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 19 August 2008

BILA shaka Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Laurence Masha hajui mambo yanayofanyika Makao Makuu ya Zimamoto na Uokoaji. Kuna haja ya kumpa vidokezo ili afuatilie, achunguze na kuchukua hatua.