Mkapa


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Benjamin Mkapa

Saed Kubenea's picture

Tundu la Mkapa jembamba


Na Saed Kubenea - Imechapwa 28 January 2009

UTATA juu ya mmiliki wa mgodi wa mkaa wa mawe wa Kiwira, mkoani Mbeya ambao umekuwa ukihusishwa na rais mstaafu Benjamin Mkapa,  unakaribia kutatuliwa.

Jabir Idrissa's picture

Lipumba amvaa Mkapa


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 12 August 2008

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema hakina imani na juhudi za Rais Jakaya Kikwete za kupambana na rushwa kwa kuwa uongozi wake ulipatikana kwenye misingi ya rushwa.

Peter Wambura's picture

Mzindakaya anazeeka vibaya


Na Peter Wambura - Imechapwa 01 July 2008

HATUA ya Mbunge wa Kwela, Chrisant Mzindakaya (CCM), kuwashambuliwa wabunge na wananchi wanaomtuhumu Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwa kutumia vibaya ofisi ya rais katika kipindi cha utawala wake, imewashangaza wengi.

Mwandishi wetu's picture

Mtandao wa JK wadaiwa kuchota mabilioni BoT


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 11 June 2008

Mkapa ashika kichwa, alalama
Makampuni yaliota kama uyoga

MSULULU wa makampuni yaliyokwapua mabilioni ya shilingi kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu (BoT), unadaiwa kunufaisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete, MwanaHALISI limeelezwa.

editor's picture

Wananchi washike lipi kwa Mkapa


Na editor - Imechapwa 03 June 2008

KATIKA miezi michache iliyopita, serikali imetoa matamko yanayopingana kuhusu hatima ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati fulani, sisi wanahabari tulimuuliza Rais Jakaya Kikwete, tukitaka kujua msimamo wake kuhusu tuhuma mbalimbali zinazotolewa juu ya Rais Mkapa.

Saed Kubenea's picture

Mkapa alimtosa Mwandosya


Na Saed Kubenea - Imechapwa 03 June 2008

Alimzunguka katika maamuzi
Mwenyewe alitaka kujiuzulu

MCHAKATO wa ubinafsishaji wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL), chini ya serikali ya Rais Benjamin Mkapa ulighubikwa na vitimbi na nusura umng'oe Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.

Mbasha Asenga's picture

Mkapa: Mwanampotevu jeuri


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 03 June 2008

KWA Wakristo wanafahamu simulizi ya mwanampotevu aliyemdai baba yake urithi. Baada ya kupewa akaenda kula na makahaba hadi alipomaliza kila kitu na kuwa fukara wa kutupa.

Mwandishi wetu's picture

Mkapa akengeuka tuhuma zake


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 27 May 2008

Atuhumu kutungiwa uongo na wenye chuki
Ashindwa kugusia tuhuma mahsusi

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa amekengeuka tuhuma zake na kujikita katika mayowe na shutuma akisema kuwa wanaomtuhumu kwa ufisadi wanamuonea bure maana yeye si tajiri.

Mbasha Asenga's picture

Wanaopanga kumpinga Kikwete 2010 wamekumbuka vya kunyonga vya Mkapa


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 20 May 2008

KUNA uvumi uliotamalaki kwamba ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lipo kundi la watu linalojiandaa kumpinga rais wao mwaka 2010.

Ndimara Tegambwage's picture

'Kochonkocho' dhidi ya ufisadi


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 13 May 2008

Vijiko, uma, sufuria silaha muhimu

WIKI iliyopita kulikuwa na taarifa katika vyombo vya habari juu ya vijana waliokamatwa kwa madai ya "kumtukana" rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Mbasha Asenga's picture

Mwisho mbaya wa Mkapa waja


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 29 April 2008

NIKIRI kwamba mimi si mtaalamu wa nyota na kwa maana hiyo nitakayoyajadili hapa, si suala la unajimu. Naangalia mambo halisi yanayotokea nchini petu.

Saed Kubenea's picture

Ufisadi TICTS - Mkapa sasa kuhojiwa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 22 April 2008

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa huenda akahojiwa na Bunge kuhusiana na mkataba kati ya serikali na kampuni ya makontena TICTS, MwanaHALISI imeelezwa.

Mwandishi wetu's picture

Mkapa anaogopa kivuli chake?


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 08 July 2005

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, ameendeleza tabia yake ya kudharau vyombo vya habari nchini kwa kile alichoita, 'vinarudiarudia kuandika habari zinazosemwa na wanasiasa badala ya kufanya uchambuzi juu ya sera, uamuzi na mwelekeo.'