Msekwa


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Pius Msekwa

Mwandishi wetu's picture

Mwenyekiti Karagwe ang’ang’aniwa


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 July 2012

PIUS Msekwa, makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anatuhumiwa kumkingia kifua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karagwe mkoani Kagera, Kashunju Runyogote.

Onesmo Paul Olengurumwa's picture

Mbunge Telele hamuonei Msekwa


Na Onesmo Paul Ole... - Imechapwa 12 October 2011

SHERIA ya sasa ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro iliyopitishwa tarehe 1 Julai 1959 (Sura 284 ya sheria za Tanzania), ndiyo chanzo cha mgogoro kati ya mbunge wa eneo hilo, Saning'o Ole Telele na mwenyekiti wa sasa bodi ya hifadhi, Pius Msekwa.

Navaya ole Ndaskoi's picture

Uko wapi usafi wa Pius Msekwa?


Na Navaya ole Ndaskoi - Imechapwa 28 September 2011

PIUS Msekwa, Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, amejigamba kwamba yeye ni mtu safi.

Saed Kubenea's picture

Msekwa ‘mtegoni,’ nani atakayebakia?


Na Saed Kubenea - Imechapwa 24 August 2011

PIUS Msekwa, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametumbukizwa katika kashifa.

Jabir Idrissa's picture

Mafisadi CCM wageuka mbogo


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 01 June 2011

Lowassa, Rostam wamkoromea Msekwa

SASA ni piga ni kupige ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wanakataa kujiuzulu, MwanaHALISI limeelezwa.

Mbasha Asenga's picture

Msekwa, Mukama barua za mafisadi haziandikiki?


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 27 April 2011

SITAKI kuaamini kwamba wiki tatu tu baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutamba kuwa kimefanikiwa kujivua gamba kufuatia kujiuzulu kwa Kamati Kuu na sekretarieti ya chama hicho mjini Dodoma, sasa watendaji wake wameanza kujawa na hofu.

M. M. Mwanakijiji's picture

Hoja za Msekwa kuhusu katiba ni dhaifu


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 02 February 2011

Ni vizuri tujitahidi kutenganisha watekelezaji na Katiba. Katiba inaweka tu vyombo vinavyoingiza watekelezaji hao…Hilo la kutenganisha kati ya watendaji waliowekwa na katiba hiyo na katiba yenyewe - Pius Msekwa.

Aristariko Konga's picture

Msekwa kasahau wosia wa Nyerere


Na Aristariko Konga - Imechapwa 19 May 2009

PIUS Msekwa ameingiwa na wasiwasi. Ameonyesha hofu ya dhahiri kuhusu mwelekeo wa chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho yeye ni Makamu Mwenyekiti.

Ndimara Tegambwage's picture

Msekwa anaturudisha nyuma


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 30 September 2008

MAPEMA wiki hii, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa, alikaririwa na vyombo vya habari akikiri kuzidiwa nguvu; akisema vurugu zimezidi na wafuasi wa chama chake wanamwagiwa pilipili.

Joseph Mihangwa's picture

Udikteta wa chama usipewe nafasi


Na Joseph Mihangwa - Imechapwa 09 September 2008

WAASISI wa demokrasia – nchi za magharibi – huipima Afrika kwa kigezo cha kuwa na vyama vingi hata kama huzaa serikali kandamizi.