Mukama
Wilson Mukama

Naomba uanachama wa CCM
Kwa Wilson Mukama,
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Makao Makuu Rasmi ya Chama,
Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.

Mzee Mukama amepwelewa
KUPWA ni kitendo cha maji ya baharini kurudi kwenye kina kirefu. Maji yakijaa hadi ufukweni hubeba samaki, wadudu na takataka na yanapokupwa samaki, wadudu na takataka hupwelewa.
Binadamu anayekosa busara na hekima huyo atakuwa amepwelewa; atazungumza chochote kinachombainisha kwamba hana busara wala hekima.
Mathalani baba akipewa taarifa na majirani kuwa mtoto wake ni mwizi, lakini yeye akajibu kuwa analipiza kisasi eti naye amekuwa akiibiwa, baba huyo amepwelewa.

Mukama anaakisi ya Yussuf Makamba
YAPO mengi yametokea nchini katika kipindi cha wiki moja iliyopita. Haya ni pamoja na kuvuliwa ubunge kwa mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema; kifo cha msanii wa filamu, Stephen Kanumba na Chama cha Demokarasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia mgombea wake, Joshua Nassari, kushinda uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge, Arumeru Mashariki.

Mukama, Mzindakaya matatani Mukama, Mzindakaya matatani
MRADI wa maji uliogharimu Sh. 1. bilioni ambao uliolenga kunufaisha vijiji vitatu sasa unanufaisha familia moja, imeelezwa.

Rostam amgeukia Nape Nnauye
NDANI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa hali si shwari tena. Wanaojiita waasisi wa “mpango wa chama wa kujivua gamba” wameanza kutuhumiana kukivuruga chama, imefahamika.

Mkapa: Anakwenda Igunga kuvuna aibu
PAMOJA na majigambo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwamba kitashinda uchaguzi mdogo wa ubunge jimboni Igunga, mkoani Tabora, Rais mstaafu Benjamin Mkapa anayekwenda kuzindua kampeni zake anaweza kuvuna aibu.

JK: usiwageuze Nape na Mukama gamba
KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemaliza kikao chake mjini Dodoma siku ya mkesha wa kuamkia tarehe 1 Agosti 2011. Kilikuwa kikao kilichosubiriwa na watu wengi kwa sababu kadhaa zilizo wazi.

CCM karibu ife: Vijana wafuate nini huko?
GAZETI la Citizen la 20 Aprili 2011, lilichapisha makala ya Ayub Rioba, ikimsifu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilson Mukama, kwamba ni mtu mwenye uwezo wa kukifufua chama hicho.

Mafisadi CCM wageuka mbogo
- Lowassa, Rostam wamkoromea Msekwa
SASA ni piga ni kupige ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wanakataa kujiuzulu, MwanaHALISI limeelezwa.

CCM yafyata kwa mafisadi
VIONGOZI wakuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameshindwa kuwaondoa katika chama hicho wale wanaowaita watuhumiwa wakuu wa ufisadi nchini, imefahamika.

Mukama amdanganya Kikwete
RIPOTI ya “kikosi kazi” kilichoundwa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete kutathmini uchaguzi mkuu uliopita, imejaa udanganyifu.

Msekwa, Mukama barua za mafisadi haziandikiki?
SITAKI kuaamini kwamba wiki tatu tu baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutamba kuwa kimefanikiwa kujivua gamba kufuatia kujiuzulu kwa Kamati Kuu na sekretarieti ya chama hicho mjini Dodoma, sasa watendaji wake wameanza kujawa na hofu.

Nape amepewa rungu kulipa kisasi
NGUMI za mitaani hazina sheria, kanuni, uwanja wala klabu za kujifunzia. Pambano linaweza kusababishwa na watu wawili, mara nyingi kwenye muziki au klabu za pombe. Kisa kinaweza kuwa bibi au bwana.