Pinda


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Waziri Mkuu Pinda

Ezekiel Kamwaga's picture

Mizengo Pinda: Siamini katika mali


Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 20 January 2010

NI takribani saa sita kasorobo, Alhamisi iliyopita. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anaingia katika ukumbi wa mikutano wa ofisi yake, Magogoni, Dar es Salaam akiwa amevalia suti nyeusi maarufu kwa jina la "Kaunda."

Saed Kubenea's picture

Pinda akumbana na 'madudu' ya Lowassa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 January 2010

MABILIONI ya shilingi za walipa kodi, ambayo Edward Lowassa alishinikiza yalipwe kwa kampuni ya kutengeneza matairi ya General Tyre (GT), yameteketea.

Godlisten Malisa's picture

Mtoto wa mkulima ameanza kupoteza imani


Na Godlisten Malisa - Imechapwa 11 August 2009

NAANZA kuhofu kwamba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameanza kufuta ile imani ambayo Watanzania wengi walikuwa wamempa baada ya kujitambulisha kama mtoto wa mkulima, mara tu baada ya kuteuliwa kushikwa wadhifa huo Februari mwaka jana.

M. M. Mwanakijiji's picture

Pinda: La Mkapa limekushinda


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 30 June 2009

UTETEZI wa rais mstaafu wa Benjamin Mkapa ambao ulifanywa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya ofisi yake, Ijumaa iliyopita, haukubaliki.

Saed Kubenea's picture

Nani atafuata nyayo za Pinda?


Na Saed Kubenea - Imechapwa 04 February 2009

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mizengo Pinda, amejiandikia historia kwa kufanya mambo mawili makubwa.

Ndimara Tegambwage's picture

Serikali haiwezi kufuta utamaduni


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 04 February 2009

Itaishia kufuta leseni za waganga wa tiba asilia

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametangaza kufutwa kwa leseni za waganga wa asili. Katika hili, Pinda amekuwa makini. Ametangaza kufuta leseni tu, siyo shughuli za uganga wa jadi. Uganga haufutiki kwa kalamu ya msajili.

Joseph Mihangwa's picture

Pinda: Mtoto hatupwi


Na Joseph Mihangwa - Imechapwa 05 August 2008

BAADHI yetu tulitabiri mapema, kwamba mpasuko wa kisiasa Visiwani Zanzibar usipodhibitiwa, ungeambukiza Muungano wetu.

Mwandishi wetu's picture

Wabunge 'wamtafuna' Pinda


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 29 July 2008

Wamkalia kikao Dar kummaliza, kuidhoofisha serikali
Wawalenga pia Sitta, Makinda, Dk. Mwakyembe, Membe

BAADHI ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza mkakati wa kudhoofisha utendaji wa serikali kwa kumwandama na "kumchafua" Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Joseph Mihangwa's picture

Iweje Zanzibar nchi ndani ya Muungano


Na Joseph Mihangwa - Imechapwa 22 July 2008

WANASHERIA wakuu wa serikali ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanashughulikia tafsiri sahihi ya kisheria kuhusu utata ulioibuka nchini wa kama Zanzibar ni nchi. Hii inafuatia tamko la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alilotoa bungeni wakati akijibu swali.

Mbasha Asenga's picture

Pinda ameamua "kufa" ili waovu wapone


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 01 July 2008

MIZENGO Pinda aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bila shaka, ili asaidie kuondoa wingu la tuhuma za ufisadi linaloifunika serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

Mwandishi wetu's picture

Usalama wa Taifa wabinafsishwa


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 01 July 2008

Serikali yaingizwa mkenge
Siri sasa zaanza kufumuka

KAMA kampuni ya Meremeta Limited inahusika na ulinzi na usalama wa taifa, kama alivyoeleza Waziri Mkuu Mizengo Pinda, basi usalama wa nchi umebinafsishwa

Mwandishi wetu's picture

Kwa nini Pinda ni kipenzi kwa Kikwete kuliko Dr Shei


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 20 May 2008

Tangu ateuliwe kushika wadhifa wa Uwaziri Mkuu takriban miezi mitatu iluiyopita, Mizengo Pinda amemwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika shughuli za nje ya nchi mara tatu. Kwa wastani amefanya hivyo mara moja kila mwezi.

Mwandishi wetu's picture

Hatimaye Stella amfikia Waziri Mkuu


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 13 May 2008

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingia kijijini Ubungo Msewe kwa kutaka ripoti kamili ya ufuatiliaji tuhuma mbalimbali zilizofikishwa kwake, MwanaHALISI imefahamishwa.

Stanislaus Kirobo's picture

Serikali kikwazo vita vya ufisadi


Na Stanislaus Kirobo - Imechapwa 06 May 2008

WIKI iliyopita suala la kushamiri kwa ufisadi nchini limezungumzwa na watu watatu mashuhuri akiwemo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Ingawa wote hawa wametoa mitazamo tofauti, lakini wanakubaliana kitu kimoja - kwamba hali ya ufisadi ni mbaya mno kiasi cha kuhatarisha amani.

Stanislaus Kirobo's picture

Pinda anafuata nyayo za Lowassa?


Na Stanislaus Kirobo - Imechapwa 12 March 2008

KATIKA kipindi cha miaka kumi ya utawala wake wa Awamu ya Pili, Rais Ali Hassan Mwinnyi alifanya kazi na mawaziri wakuu watatu – yaani mara mbili alijikuta analazimika kuwabadilisha watendaji wake wakuu.