Rostam


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Rostam Aziz

Saed Kubenea's picture

Selelii: Avua nguo Rostam, Lowassa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 11 November 2009

Adai Kikwete alikabidhiwa mapema ripoti ya Richmond
Asema kama kumuokoa ni yeye aliyepaswa kufanya hivyo

JUHUDI za mbunge wa Monduli, Edward Lowassa na mwenzake wa Igunga, Rostam Aziz kutaka kujivua na gome la Richmond zimezimwa, MwanaHALISI limeelezwa.

Mwandishi wetu's picture

Lowassa, Rostam, wamvaa Makamba


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 06 October 2009

HATUA ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba kwenda nyumbani kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Samwel Sitta, imeudhi baadhi ya vigogo waandamizi wa chama hicho, MwanaHALISI limeelezwa.

Mwandishi wetu's picture

Rostam aanza kutikiswa


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 11 August 2009

Akutana na kigingi Igunga

ZAMA za mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kushinda kinyang'anyiro cha ubunge bila kupingwa ndani ya chama chake, sasa zimefikia tamati, imefahamika.

Saed Kubenea's picture

Lowassa, Rostam wazimwa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 04 August 2009

Ni katika sakata la Richmond
Bomu la Dk. Mwakyembe kiporo

TUNDU la kutokea la Edward Lowassa, ili akwee upya kwenye uongozi wa juu nchini, tena kwa kishindo, limezibwa, MwanaHALISI limegundua.

Saed Kubenea's picture

Rostam azimwa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 23 June 2009

Mahakama yamzuia kufilisi gazeti
Kikwete 'amkacha' Afrika Kusini

MBIO za Rostam Aziz za kufilisi  MwanaHALISI zimekwama. Mahakama ya Rufaa imekubali ombi la gazeti la kuzia utekelezaji wa hukumu iliyotolewa na mahakama kuu.

Saed Kubenea's picture

Rostam Aziz balaa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 26 May 2009

Anamiliki makampuni kama uyoga
Lakini jina lake halionekani popote

ROSTAM Aziz, mbunge wa Igunga, anamiliki makampuni mengi ambamo jina lake halionekani, MwanaHALISI limegundua.

Mwandishi wetu's picture

Rostam katika tope jipya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 12 May 2009

Aleta hasara kwa serikali
Akabidhi mahindi hewa

TUHUMA mpya za ufisadi zimeibuka dhidi ya mbunge wa Igunga, Rostam Aziz na kumzamisha katika tope jipya, MwanaHALISI limegundua.

Ndimara Tegambwage's picture

Serikali inapotenda jinai, tufanyeje?


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 12 May 2009

SERIKALI imeficha ukweli. Katika hatua hii, serikali inaweza kutuhumiwa kusema uwongo; na kusema uwongo ni kutenda jinai. Je, serikali ikitenda jinai itakuaje?

Lusuvilo Mwakalyelye's picture

Rostam hajajibu hoja, hajajisafisha


Na Lusuvilo Mwakalyelye - Imechapwa 12 May 2009

NILIMSIKILIZA Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, akijitetea kuhusu ufisadi papa wake kama ulivyoanikwa na Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi. Nimejiridhisha kuwa ameshindwa kujitetea na wala hakujisafisha.

Saed Kubenea's picture

Lowassa, Rostam waumbuana


Na Saed Kubenea - Imechapwa 05 May 2009

SIRI imefichuka. Vigogo waliojaribu kuiba ripoti ya Kamati Teule ya Bunge kuhusu kashfa ya Richmond kabla ya kuwasilishwa bungeni, waliiba “kanyaboya,” MwanaHALISI limegundua.

M. M. Mwanakijiji's picture

'Tunagombea urithi wa taifa letu'


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 05 May 2009

LENGO la Azimio la Arusha halikuwa kugawana umaskini bali kugawana utajiri. Lakini leo hii, kundi la watu wachache linagawana utajiri na sisi wengi tunatakiwa kugawana umaskini.

Mbasha Asenga's picture

Vita dhidi ya ufisadi imekwama


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 05 May 2009

UKITAFAKARI kwa kina yanayoendelea nchini kwa sasa, utagundua wazi kwamba watuhumiwa wa ufisadi wameamua kupambana hadi tone lao la mwisho la damu na wanafanikiwa.

Saed Kubenea's picture

Rostam ashindwa kujibu hoja, abambika tuhuma


Na Saed Kubenea - Imechapwa 05 May 2009

UKUMBI ulijaa waandishi wa habari, chipukizi na wakongwe. Ni katika mkutano wa Rostam Aziz, mbunge wa Igunga na mfanyabiashara.

Mwandishi wetu's picture

Mengi ataja 'mafisadi papa' wanaoitafuna Tanzania


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 28 April 2009

MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amechukua ujasiri wa kipekee na kutaja baadhi ya raia nchini kuwa ni “mafisadi papa.”

Said Shango's picture

Rostam umelisikia hili?


Na Said Shango - Imechapwa 28 April 2009

NOVEMBA mwaka jana Rais Jakaya Kikwete alifanya ziara ya kikazi wilayani Igunga, mkoani Tabora. Katika ziara hiyo, Kikwete alielezwa “kero za wananchi.” Naye akaeleza mengi yanayo husu taifa.

Alfred Lucas's picture

Rostam nusura ajiumbue


Na Alfred Lucas - Imechapwa 31 March 2009

MFANYABIASHARA na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz amesitisha uchapishaji magazetini wa taarifa yake ya kukana tuhuma za ufisadi.

Mwandishi wetu's picture

Mwakyembe: Nitafyatuka


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 March 2009

Lissu: Dharura ni kichaka cha ufisadi

MBUNGE wa Kyela (CCM), Dk. Harisson Mwakyembe amembwatukia mfanyabiashara Rostam Aziz na kumwonya kuwa “kuna siku tutafyatuka…tusiheshimiane kabisa.”

M. M. Mwanakijiji's picture

Mgawanyiko CCM: Kikwete njiapanda


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 25 March 2009

WABUNGE wenye msimamo kama wa mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe, na wale wenye msimamo kama wa Rostam Aziz, mbunge wa Igunga, hawawezi kubakia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wakati mmoja. Sharti wale wa msimamo mmoja watoke ili chama kinusurike.

Mwandishi wetu's picture

Mwakyembe akoromea Rostam


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 March 2009

JUMATANO iliyopita mbunge wa Kyela (CCM), Dk. Harrison Mwakyembe alikutana na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam, kujibu kile alichoita, “kombora” alilotupiwa. Ifuatayo ni sehemu iliyofupishwa ya maelezo yake, ikifuatiwa na mahojiano kati yake na waandishi. 

Mwandishi wetu's picture

Mafisadi wamtishia Kikwete


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 25 March 2009

WATUHUMIWA wa ufisadi, wanaolalamika kuwa Rais Jakaya Kikwete amewatelekeza, wanapanga kumhusisha katika baadhi ya tuhuma zinazowakabili ili kumshinikiza kutimiza matakwa yao, MwanaHALISI limeelezwa.

Saed Kubenea's picture

Rostam kinara wa Dowans


Na Saed Kubenea - Imechapwa 11 March 2009

Anajuana na Dowans, Kagoda
Serikali yamwangalia tu

MWANASIASA na mfanyabiashara Rostam Aziz ana siri kubwa kuhusu makampuni ya Dowans na Kagoda Agriculture Limited yanayotuhumiwa kwa kuhujumu uchumi.

Saed Kubenea's picture

Serikali yanywea


Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 February 2009

Ni katika sakata la Kagoda
PM, DCI, DPP waweseka

SERIKALI imeshindwa kusema lolote kuhusiana na kushiriki katika wizi wa mabilioni ya shilingi kupitia kampuni ya Kagoda Agriculture Limited.

Saed Kubenea's picture

Siri ya Kagoda hii hapa


Na Saed Kubenea - Imechapwa 18 February 2009

Mkapa na Rostam watajwa
Peter Noni, Malegesi wamo

USHAHIDI wa kwanza na muhimu kwamba fedha zilizoibwa na Kampuni ya Kagoda kutoka Benki Kuu (BoT) uliidhinishwa na viongozi wakuu nchini, sasa umepatikana, MwanaHALISI limeelezwa.

Mwandishi wetu's picture

Chadema yamng'ang'ania Rostam Aziz


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 28 January 2009

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), bado kimeng’ang’ania kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishiriki katika ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi kutoka Akauti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania.

Stanislaus Kirobo's picture

Mwenye Kagoda anafahamika


Na Stanislaus Kirobo - Imechapwa 14 January 2009

NANI mmiliki wa kampuni ya Kagoda Agriculture Limetd? Serikali ina uswahiba gani na kampuni hiyo hadi inashindwa kutaja mmiliki wake?

Mwandishi wetu's picture

Wizi wa mabilioni BoT: Kikwete alidanganya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 09 September 2008

RAIS Jakaya Kikwete hakuwa na haja ya kuunda Timu ya Kuchunguza Wizi wa fedha za EPA kwa kuwa anajua kilichotendeka, MwanaHALISI limegundua.

Mafaili ya Benki Kuu yamejaa mawasiliano juu ya udanganyifu mkubwa, hasa uliofanywa na kampuni ya Kagoda Agriculture ambayo pia yatakuwa mikononi mwa Timu yake.

Saed Kubenea's picture

Rostam ajiongezea maadui


Na Saed Kubenea - Imechapwa 15 July 2008

MBUNGE wa Igunga na mfanyabiashara, Rostam Aziz, amefungua ukurasa mpya katika maisha yake. Jumapili iliyopita aliitisha mkutano wa waandishi wa habari katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski, Dar es Salaam kwa kile alichoita, 'kufafanua kilichotokea.'

Saed Kubenea's picture

Watuhumiwa wa ufisadi hawasafishiki


Na Saed Kubenea - Imechapwa 24 June 2008

WALE wanaoitwa watuhumiwa wa ufisadi hawajasafishwa. Vikao vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vilivyofanyika mkoani Dodoma wiki mbili zilizopita, kamwe haviwezi kuwasafisha.

Saed Kubenea's picture

Serikali yafichua kigogo wa Dowans


Na Saed Kubenea - Imechapwa 13 May 2008

Ni Mtanzania, kiongozi wa CCM
Hoseah kung'olewa TAKUKURU

MAKAMPUNI ya kuzalisha umeme ya Richmond na Dowans yanamilikiwa na mtu mmoja, MwanaHALISI limegundua.

Mwandishi wetu's picture

Genge laundwa kumkabili Kikwete


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 06 May 2008

Lahofia mabadiliko serikalini
Yeye ajiandaa kuwakabili

GENGE la watuhumiwa wa ufisadi nchini linajiandaa kukabiliana na utawala wa Rais Jakaya Kikwete ili kuudhoofisha kabisa, MwanaHALISI limeelezwa.