Rostam


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Rostam Aziz

David Kafulila's picture

Mafisadi wasionewe huruma


Na David Kafulila - Imechapwa 06 May 2008

MAFUNZO ya kivita dhidi ya ufisadi yanazidi kupata waumini. Kilichobaki sasa ni kujenga mahali pa kuhitimishia vita hivyo kwa kuwa baadhi ya mafisadi wanaendelea kuwepo na wanatamba.

Saed Kubenea's picture

Urais ngoma nzito kwa Kikwete


Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 April 2008

Wabia wake wamekuwa na nguvu kuliko yeye
Ameendelea kuwabeba mawaziri wenye tuhuma

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imechukuliwa na msukule. Wananchi wanajiuliza: "Mbona urais kwa Kikwete umekuwa mgumu kinyume cha matarajio yao?"

Saed Kubenea's picture

Janja ya Rostam kuigawa CCM


Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 April 2008

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kilitishiwa "nyau" na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, na kikatishika. Alichotaka kukiwasilisha bungeni, hakikuwa na nguvu za kuadhirisha Bunge wala CCM, MwanaHALISI limegundua.

Mwandishi wetu's picture

Hoja ya Rostam Bungeni hii


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 29 April 2008

Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kunipatia nafasi hii ya kuzungumza mbele ya Bunge lako tukufu ili niweze kutoa maelezo na vielelezo kuthibitisha hoja nilizotoa katika mchango wangu wa maandishi

Mwandishi wetu's picture

Rostam taabani


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 15 April 2008

MBUNGE wa Igunga (CCM), Rostam Aziz, ametishia kujiuzulu ubunge kutokana na hatua ya Kamati ya Uongozi ya Bunge kumzuia kuwasilisha hoja yake bungeni, MwanaHALISI limedokezwa.

Saed Kubenea's picture

Sura mbili za Rostam Aziz


Na Saed Kubenea - Imechapwa 15 April 2008

Huku anang'aka, kule anadoda

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limemzuia mbunge wa Igunga na mfanyabishara Rostam Aziz, kuwasilisha hoja yake bungeni.

Mwandishi wetu's picture

Rostam Aziz ahusishwa ufisadi mabilioni ya Japan


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 26 March 2008

Ni za Mfuko wa Chakula
Zilizochotwa ni bilioni 200

MBUNGE wa Igunga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rostam Aziz, ni miongoni mwa wafanyabiashara kadhaa wanaotajwa kufilisi Mfuko wa Chakula (FACF) baada ya kuchotewa na serikali zaidi ya Sh. 200 bilioni.

editor's picture

Rostam, tukutane mahakamani


Na editor - Imechapwa 29 April 2005

TUMESOMA katika vyombo vingine vya habari kwamba mfanyabiashara kigogo na Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi, amefungua kesi dhidi ya gazeti hili la wananchi-MwanaHALISI.