Lwakatare


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Wilfred Lwakatare

Alfred Lucas's picture

Mbowe aibomoa CUF


Na Alfred Lucas - Imechapwa 23 June 2009

Kumbeba Lwakatare kwa mbwembwe

WILFRED Lwakatare, anahamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), keshokutwa, Ijumaa.

Mwandishi wetu's picture

Lwakatare atikisa uongozi CUF


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 16 June 2009

MWANACHAMA Na. 146 na mmoja wa waasisi wa Chama cha Wananchi (CUF), Wilfred Muganyizi Lwakatare (47), amejiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya chama chake.

Alfred Lucas's picture

Lwakatare atikisa Bukoba


Na Alfred Lucas - Imechapwa 21 April 2009

“HAIJAPATA kutokea!” Ndivyo wengi wanavyosema mjini Bukoba. Ni baada ya kuona umati uliomlaki Wilfred Muganyizi Lwakatare, akitokea Dar es Salaam kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF).

Agnes Mlundachuma's picture

Kagasheki: Ubunge wangu umevuka itikadi za vyama


Na Agnes Mlundachuma - Imechapwa 03 June 2008

MIAKA minne iliyopita, siasa za Jimbo la Bukoba Mjini, mkoani Kagera, hazikumjua mtu aliyeitwa Khamis Sued Kagasheki. Hata alipojitokeza, alionekana mgeni kwa wakazi wengi wa Bukoba.