Slaa
Mlolongo wa Habari zinazomhusu Wilibroad Slaa

'Siri za serikali' zinalenga kulea ufisadi
MBUNGE wa Karatu, Dk. Willibrod Slaa alipouliza bungeni wiki iliyopita, nini hasa 'siri za serikali,' kulizuka hofu. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera), Philip Marmo, hakujibu ila alitisha wabunge.

Dk. Slaa: Nimeshinda mafisadi
"HUU si ushindi wangu binafsi, bali ni ushindi wa Watanzania. Ni ushindi wa wazalendo wa nchi hii, dhidi ya mafisadi. Hakika, huu ni ushindi wa wananchi wazalendo wa kweli katika taifa lao.

Serikali ilete ajenda yake
SERIKALI ya awamu ya nne inayoongozwa na Rais Jakaya Kikwete, inaonekana imekuwa katika kifungo cha fikra kwa kipindi chote cha mwaka wa fedha wa 2007/08. Imeshindwa kujitoa katika ajenda iliyoasisiwa na wapinzani.

Sitta, Kabwe na Slaa msirudi nyuma
TANGU serikali ya awamu ya nne itangaze bajeti yake ya mwaka 2007/08 haijawahi kupumzika dhidi ya tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.
- « first
- ‹ previous
- 1
- 2
- 3