Hamad


Mlolongo wa Habari zinazomhusu Sharif Hamad

Rugemeleza Nshala's picture

Maalim Seif anashia Muungano


Na Rugemeleza Nshala - Imechapwa 25 January 2012

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Shariff Hamad, ametoa kauli mbili tofauti kuhusiana na muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Kwanza, amesema mabadiliko ya katiba ya Jamhuri ya Muungano lazima yaweke kipengele cha kubadilishana nafasi ya urais kati ya Bara na Visiwani. 

Hii ni kwa vile katika miaka 45 ya Muungano, Zanzibar imetoa rais mara moja tu, wakati Bara imetoa rais mara tatu.

Mwandishi Maalum's picture

Maalim Seif alishinda – Zitto


Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 11 January 2012

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe amenukuliwa akisema Maalim Seif Shariff Hamad alishinda uchaguzi mkuu wa 2010.

Mbasha Asenga's picture

Maalim Seif na kete ya urais wa Muungano


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 11 January 2012

JAMAA yangu mmoja ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) alipata kunieleza kuwa CUF ni Maalim Seif na Maalim Seif ni CUF. Nilimpuuza. Niliamini kwamba ni  kauli rejareja za wanasiasa.

Pemba, ambako kwa miaka 12 sasa ya mfumo wa vyama vingi, vyama vipya mbali ya CCM vimeshindwa kabisa kuota mizizi, imebaki kuwa sehemu ya himaya ya CUF. Kwa hakika si CUF ila kwa mujibu wa mawazo ya wengi ni Maalim Seif.

Sasa hivi kuna mgogoro ndani ya CUF. Wamefukuzana. Miongoni mwao yumo mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed. Huyu anatoka Pemba.

Jabir Idrissa's picture

Urais Zanzibar waitafuna CUF


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 04 January 2012

MGOGORO unaofukuta kati ya katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad na mbunge wa Wawi, kisiwani Pemba, Hamad Rashid Mohamed, chimbuko lake, ni mbio za urais wa Zanzibar mwaka 2015, imefahamika.

Saed Kubenea's picture

Hamad kufukuzwa CUF


Na Saed Kubenea - Imechapwa 28 December 2011

ALIYEJIAPIZA kumng’oa Maalim Seif Shariff Hamad ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), sasa kufukuzwa uanachama, imefahamika.

Alfred Lucas's picture

Ufa wazidi kuongezeka CUF


Na Alfred Lucas - Imechapwa 14 December 2011

UFA ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), umezidi kuongezeka. Wakati idara ya usalama ya chama hicho ikisema Hamad Rashid Mohammed, anatumiwa na Edward Lowassa katika mbio zake za kutafuta uongozi, Maalim Seif Shariff Hamad, anasema yeye mwenyewe ndiye anayesaka urais.

Jabir Idrissa's picture

Maalim Seif na ‘dhahabu’ ya Zbar, mbunge na karafuu bungeni


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 24 August 2011

MATUKIO mawili yalinivutia wiki iliyopita katika muendelezo wa kampeni kabambe ya serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar kuilinda karafuu.

Ezekiel Kamwaga's picture

Kadhia ya Sakaya na bao la kujifunga la CUF


Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 29 June 2011

MAGDALENA Sakaya, mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Wananchi (CUF) na viongozi wengine wa juu wa chama hicho, walikaa rumande ya polisi kwa muda wa siku mbili.

Mwandishi wetu's picture

Maalim Seif amezaliwa upya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 03 November 2010

BAADA ya matukio yaliyotokea Zanzibar katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, ni wazi jina la Maalim Seif Shariff Hamad, litabaki katika vitabu vya historia ya visiwa hivyo kwa miaka mingi ijayo.

Jabir Idrissa's picture

Muafaka sasa Seif kuongoza Zanzibar


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 27 October 2010

ZIKIWA zimebaki siku tatu tu kuingia siku ya upigaji kura, tarehe 31 Oktoba, mazingira ya kwenye uwanja wa ushindani yanaonyesha Chama cha Wananchi (CUF) kina nafasi kubwa ya kuunda serikali.

Saed Kubenea's picture

Siri za CCM, CUF zavuja


Na Saed Kubenea - Imechapwa 20 October 2010

MAKUBALIANO kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF) kuhusiana na mwendo kuelekea uchaguzi mkuu yamevuja, MwanaHALISI linaweza kuripoti.

Jabir Idrissa's picture

Bado nasubiri ‘maridhiano ya kweli’


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 21 April 2010

SHIDA wanazopata wananchi wengi wakati huu awamu ya pili ya uandikishaji wapiga kura Zanzibar ukiendelea, zinaelezea tatizo la msingi liliopo katika uongozi wa nchi.

Jabir Idrissa's picture

CCM achieni Zanzibar ijizongoe


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 24 February 2010

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinajenga siasa mbaya. Kwa kinavyoyachukulia baadhi ya mambo muhimu yenye maslahi na taifa, hapana shaka kinaelekea katika kukwamisha maridhiano Zanzibar.

Jabir Idrissa's picture

Wacha Maalim Seif…Hata Karume aweza kuwa jabali


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 25 November 2009

RAIS Amani Abeid Karume ana kitendawili. Si kigumu hivyo kwani aweza kuwa ndiye mteguzi. Ni Mswahili huyu aliyesoma Unguja, tena kwa Kiswahili.

Ni lugha ya mafumbo. Unafumba hala

Jabir Idrissa's picture

Wazanzibari wajenga matumaini mapya


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 18 November 2009

KUMEJITOKEZA dalili nzuri za mshikamano miongoni mwa wananchi wa Zanzibar. Mkutano wa faragha wa Rais Amani Abeid Karume na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad, uliofanyika 7 Oktoba, unaonesha kufanikiwa kuongeza kitu katika utafutaji wa mustakbali wa kisiasa visiwani Zanzibar.