Dowans
Mlolongo wa Habari za kashfa ya Dowans

Sakata la Dowans: Msimu mwingine wa ufisadi serikalini?
SERIKALI imekuwa kigeugeu. Sasa inataka kununua mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya Dowans.

Dk. Rashid Dowans imekupa nini?
TANZANIA yetu isiyoishiwa sakata, safari hii imethibitika kwamba lile sakata la Richmond ambalo lilirithiwa na Dowans katika mradi wa kuzalisha umeme wa dharura wa megawati 100, halijafa na kwa kweli limekataa kufa.

Mzigo wa Dowans tumeutua, wa IPTL lini?
TAARIFA kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limevunja mkataba wa kununua umeme wa dharura kwa kampuni ya Dowans (T) Ltd, kuanzia Agosti 1, mwaka huu, zinatia moyo. Angalau kilio cha wanachi na wawakilishi wao kwenye Bunge kimeanza kusikilizwa. Mkataba huo ulikuwa ukiligharimu taifa Sh. 152 milioni kwa siku.
- « first
- ‹ previous
- 1
- 2
- 3