EPA


Mlolongo wa Habari za kashfa ya EPA

Mbasha Asenga's picture

Pinda ameamua "kufa" ili waovu wapone


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 01 July 2008

MIZENGO Pinda aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bila shaka, ili asaidie kuondoa wingu la tuhuma za ufisadi linaloifunika serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

Mwandishi wetu's picture

Mkullo ametumwa na nani kuwatetea wezi?


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 24 June 2008

KATIKA hitimisho lake makadirio ya Bajeti ya mwaka 21008/09 Bungeni, Dodoma, Ijumaa iliyopita, Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkullo, alitoa kauli iliyowashangaza wengi, nami nikiwamo.

editor's picture

Tunamsubiri Pinda siyo vikao butu


Na editor - Imechapwa 17 June 2008

KUTOKA kaulimbiu ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, hadi vikao visivyo na ajenda mahsusi. Hii ndiyo picha inayojengeka haraka tunapotafakari mwenendo wa utendaji kazi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwandishi wetu's picture

Mtandao wa JK wadaiwa kuchota mabilioni BoT


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 11 June 2008

Mkapa ashika kichwa, alalama
Makampuni yaliota kama uyoga

MSULULU wa makampuni yaliyokwapua mabilioni ya shilingi kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu (BoT), unadaiwa kunufaisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete, MwanaHALISI limeelezwa.

Stanislaus Kirobo's picture

'Nguvu, ari na kasi mpya' inapogeuzwa dhihaka


Na Stanislaus Kirobo - Imechapwa 11 June 2008

JINSI siku za awamu ya uongozi za Rais Jakaya Kikwete zinavyozidi kuyoyoma, ndivyo inavyozidi kudhihirika kuwa wakati anawania urais hakuwa na ajenda mahsusi – kwamba angewafanyia nini Watanzania ili waone tofauti yake na marais waliomtangulia.

Isaac Kimweri's picture

Sitta, Kabwe na Slaa msirudi nyuma


Na Isaac Kimweri - Imechapwa 08 April 2008

TANGU serikali ya awamu ya nne itangaze bajeti yake ya mwaka 2007/08 haijawahi kupumzika dhidi ya tuhuma za ufisadi zilizoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake waandamizi.