Igunga


Mlolongo wa habari kuhusu Uchaguzi mdogo Igunga

Alfred Lucas's picture

Mahona: Natembea na ushindi Igunga


Na Alfred Lucas - Imechapwa 31 August 2011

LEOPOLD Lucas Mahona, mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) aliyepitishwa kuwania ubunge Jimbo la Igunga amesema tayari ana mtaji wa ushindi kutokana na kura alizopata katika uchaguzi mkuu mwaka jana.