Katiba


Saed Kubenea's picture

Jaji Warioba kutendewa kama Jaji Kisanga?


Na Saed Kubenea - Imechapwa 27 June 2012

Matumizi ya Tume Sh. 40 bilioni yaweza kuteketea bure

BENJAMIN Mkapa, rais mstaafu, aliwahi “kumzodoa” Jaji Robert Kisanga kwa kumwambia “…hili hatujakutuma.”

Saed Kubenea's picture

Rais Kikwete, CCM hawataki Katiba Mpya


Na Saed Kubenea - Imechapwa 30 May 2012

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, hawataki katiba mpya. Wanataka kubakiza katiba iliyopo na kuiita “Katiba Mpya.”

Mwandishi wetu's picture

Tume ya Warioba


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 18 April 2012

JAJI Joseph Warioba anaweza kukwama kuunganisha tume ya kuratibu maoni ya katiba mpya ambayo ameteuliwa kuiongoza, MwanaHALISI linaweza kuripoti.

Kondo Tutindaga's picture

Kikwete ana Katiba yake kichwani?


Na Kondo Tutindaga - Imechapwa 18 April 2012

TUME ya kushughulikia mchakato wa katiba mpya imekwishaapishwa na itaanza kazi zake Mei Mosi mwaka huu.

Nyaronyo Kicheere's picture

Naomba ukuu wa wilaya nikasimamie mchakato wa katiba


Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 15 February 2012

MIONGONI mwa mambo yaliyoongezwa kwenye muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba namba 8 ya 2011 ni wakuu wa wilaya kuongezwa kwenye kundi la viongozi watakaotumiwa na Tume ya Katiba kuitisha mikutano ya maoni.

Akiomba marekebisho hayo ili wakuu wa wilaya nao wapate uwezo na mamlaka ya kuitisha mikutano ya maoni, mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, alisema wakuu wa wilaya ni viongozi muhimu sana na wawakilishi wa rais katika wilaya.

Fred Okoth's picture

CHADEMA yatikisa Ikulu


Na Fred Okoth - Imechapwa 30 November 2011

RAIS Jakaya Kikwete hakufahamu kwa undani kilichomo kwenye muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba (Constitutional Review Bill 2011), uliopitishwa na bunge hivi karibuni, MwanaHALISI limeelezwa.

Alfred Lucas's picture

Dk. Slaa, Kikwete uso kwa uso


Na Alfred Lucas - Imechapwa 23 November 2011

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakusudia kumshitaki Rais Jakaya Kikwete kwa umma, iwapo atagoma kukutana nao, imeleezwa.

Leonard Mtapima's picture

KATIBA: Wananchi ni kauli ya mwisho


Na Leonard Mtapima - Imechapwa 23 November 2011

SERIKALI yoyote isiyosimamia maslahi na matakwa ya umma haiko tayari kufanya jambo lolote bila shinikizo na msukumo wa hali ya juu; ama kutoka kwa umma au viongozi wa siasa wenye mrengo wa kusaidia umma.

Hali na namna ya serikari hii imekua ikijitokeza hasa kwenye matatizo ya msingi ya umma; mathalani uhuru wa wananchi kujitawala, kujiamulia kipi kinawafaa na kusimamia rasilimali zao wao wenyewe.

Inapofikia kipindi umma unaona matakwa na maslahi yake yanakiukwa na kuwa chini ya mikono ya watu wachache, ndipo aina mbalimbali kama maandamano, shinikizo kwa kauli na hata kus

Paschally Mayega's picture

Serikali isichezee mchakato wa katiba mpya


Na Paschally Mayega - Imechapwa 02 November 2011

KATIBA ni jumla ya kanuni ambazo kwazo huwezesha serikali itawale au chama au kampuni iendeshe shughuli zake. Hivyo, hautakiwi mzaha, udanganyifu, hila au ujanjaujanja wa kijinga katika mchakato wa kupata katiba mpya.

Nyaronyo Kicheere's picture

Wagonga meza, wazomeaji CCM kutunga katiba mpya


Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 27 July 2011

MKAKATI mahsusi wa kuwezesha kupitishwa kwa muswada wa marekebisho ya katiba kupitia Bunge hili la sasa lililojaa wazomeaji na wagonga meza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) umeandaliwa.

Nyaronyo Kicheere's picture

Serikali yaleta muswada kinyemela


Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 20 July 2011

SERIKALI imetoa kimyakimya toleo jingine la Muswada wa Marekebisho ya Katiba, MwanaHALISI limegundua.

Mwandishi wetu's picture

Serikali ya CCM bado inacheza na muswada


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 30 April 2011

KATIKA mkutano uliopita wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Spika Anne Makinda alitoa kauli inayohitaji ufafanuzi kuhusu hatima ya muswada wa serikali wa kuunda Tume ya Kukusanya Maoni ya marejeo ya katiba ya Tanzania.

Nyaronyo Kicheere's picture

Muswada wenye magamba dhidi ya usio na magamba


Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 27 April 2011

NIKIULIZWA nani aliasisi muswada wenye “magamba” ulioondolewa bungeni wiki iliyopita, haraka nitajibu kuwa ni Rais Jakaya Kikwete, waziri wake wa Sheria na Katiba, Celina Kombani na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema.

Mabere Marando's picture

Katiba Mpya: Tunachotaka sasa


Na Mabere Marando - Imechapwa 20 April 2011

KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla ya kuandika katika mpya. Nina maoni tofauti.

Mwandishi wetu's picture

Mjadala wa Katiba kama usanii


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 13 April 2011

ENEO la Karimjee, ukumbi maarufu jijini Dar es Salaam. Nakuta mjadala wa muswada wa sheria ya marejeo/mapitio ya Katiba wa 2011 ndio kwanza umeanza.

Jabir Idrissa's picture

Serikali yasalimu amri


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 13 April 2011

MUSWADA wa Sheria ya Mapitio ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano, sasa utajadiliwa bila ya hati ya dharura, MwanaHALISI limeelezwa.

Mabere Marando's picture

Muswada ni udikteta mtupu, haufai


Na Mabere Marando - Imechapwa 13 April 2011

MUSWADA unaitwa Constitutional Review Act, 2011. Hilo neno review limetumika siyo kwa bahati mbaya, ni kwa makusudi. 

Jabir Idrissa's picture

Dk. Slaa: Kikwete ahadaa wananchi


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 06 April 2011

MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, umeelezwa kuwa ni kitanzi kwa wananchi.

Mwandishi wetu's picture

Muswada huu haufai


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 06 April 2011

MUSWADA wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011, haufai kuwasilishwa bungeni. Haufai kuwa sheria.

Mwandishi wetu's picture

Serikali haitaki Katiba Mpya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 06 April 2011

KATIKA gazeti hili, toleo Na. 223 la 5 Januari 2011, tulichapisha uchambuzi wa Ndimara Tegambwage chini ya kichwa: “Rais Kikwete hataki Katiba Mpya.” Ndivyo imetokea katika muswada wa serikali wa “Sheria ya Marejeo ya Katiba” wa Mwaka 2011. Tunarudia makala hii kutokana na umuhimu wake.

Mbasha Asenga's picture

Hila katika uandaaji katiba zitaligharimu taifa


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 06 April 2011

NILIPATA kusema awali na kuandika, kwamba damu iliyomwagika katika bara la Afrika baada ya ukoloni ni nyingi zaidi kuliko iliyomwagwa na wakoloni kwa ujumla wakati wa utawala wa mabavu dhidi ya mtu mweusi.

Njelu Kasaka's picture

Katiba inayohitajika, inayokidhi mahitaji ya wananchi


Na Njelu Kasaka - Imechapwa 16 February 2011

RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha njia. Ni kutokana na hatua yake ya kukubaliana na wanaotaka kuwapo kwa Katiba mpya. Amefanya hivyo, siku chache baada ya wasaidizi wake wawili – Mwanasheria Mkuu wa serikali, Jaji Frederick Werema na Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani – kuonyesha wazi kuwa hawataki kuwapo kwa jambo hilo. 

M. M. Mwanakijiji's picture

Hoja za Msekwa kuhusu katiba ni dhaifu


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 02 February 2011

Ni vizuri tujitahidi kutenganisha watekelezaji na Katiba. Katiba inaweka tu vyombo vinavyoingiza watekelezaji hao…Hilo la kutenganisha kati ya watendaji waliowekwa na katiba hiyo na katiba yenyewe - Pius Msekwa.

Jabir Idrissa's picture

Chuo Kikuu wapanua mjadala


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 19 January 2011

MJADALA wa Tanzania kupata katiba mpya umepanuka. Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imeurutubisha.

Ndimara Tegambwage's picture

Rais Kikwete hataki Katiba Mpya


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 05 January 2011

RAIS Jakaya Kikwete hajasema kuwa anakubaliana na hoja ya kuwa na katiba mpya. Hajasema!

M. M. Mwanakijiji's picture

Kikwete na Katiba Mpya: Mkokoteni mbele ya Punda


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 05 January 2011

KATIKA hotuba yake ya kuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2011 Rais Jakaya Kikwete amesema mengi.

Ndimara Tegambwage's picture

Katiba mpya sharti ipatikane sasa


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 29 December 2010

WIKI iliyopita, ukurasa huu ulibeba makala ya Ndimara Tegambwage yenye kichwa: “Katiba mpya siyo kwa hisani.” Ufuatao ni mrejesho wa wasomaji kwa sms.

Joster Mwangulumbi's picture

Watawala waondoe fikra viraka


Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 15 December 2010

AAH ukubwa mzuri! Wakubwa wakiona wanazidiwa kwa hoja na raia au wafanyakazi fulani wanahimiza kufuatwa utaratibu. Wanatoa ushauri huo huku wakijua kwamba wao ndio wameifunga ‘milango’ ya haki.

M. M. Mwanakijiji's picture

CCM msipodandia katiba mpya, mtaachwa na historia


Na M. M. Mwanakijiji - Imechapwa 08 December 2010

NINGEKUWA nina uwezo wa kukishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mjadala unaoendelea nchini juu ya haja ya kuwa na Katiba Mpya ningesema “mmechelewa.”

Ndimara Tegambwage's picture

Katiba mpya haihitaji masharti


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 15 October 2010

MSUKUMO wa kudai katiba mpya “katika mazingira ya amani” ili kuepusha vurugu nchini, umezidi kuimarika.