Meremeta


Mlolongo wa Habari za kashfa ya Meremeta

Ndimara Tegambwage's picture

Vitisho ni aina ya ufisadi


Na Ndimara Tegambwage - Imechapwa 01 July 2008

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesema bungeni kuwa hawezi kusema lolote juu ya kampuni ya Meremeta kwa kuwa shughuli zake zinahusiana na ulinzi na usalama; kwa hiyo ni 'siri.'

Mbasha Asenga's picture

Pinda ameamua "kufa" ili waovu wapone


Na Mbasha Asenga - Imechapwa 01 July 2008

MIZENGO Pinda aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu, bila shaka, ili asaidie kuondoa wingu la tuhuma za ufisadi linaloifunika serikali ya Rais Jakaya Kikwete.

Mwandishi wetu's picture

Usalama wa Taifa wabinafsishwa


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 01 July 2008

Serikali yaingizwa mkenge
Siri sasa zaanza kufumuka

KAMA kampuni ya Meremeta Limited inahusika na ulinzi na usalama wa taifa, kama alivyoeleza Waziri Mkuu Mizengo Pinda, basi usalama wa nchi umebinafsishwa