NCCR


Mlolongo wa Habari za National Convention for Constitution Reform

Mwandishi wetu's picture

Mbatia: Tumefungua ukurasa mpya


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 08 February 2012

SASA uwezekano wa vyama vya upinzani kuungana, kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), umeanza kuonekana.

Mwandishi wetu's picture

Moses Machali: Nitapambana kulinda NCCR-Mageuzi


Na Mwandishi wetu - Imechapwa 09 November 2011

MBUNGE wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Joseph Machali, ameibuka na kusema ndani ya chama chake hakuna mgogoro wa uongozi.

Alfred Lucas's picture

HASHIM RUNGWE: NCCR-Mageuzi inahitaji mabadiliko


Na Alfred Lucas - Imechapwa 19 October 2011

HASHIM Spunda Rungwe hajachuja kwa tambo. Anatamba bado angali na maarifa ya uongozi adilifu.

Alfred Lucas's picture

Kafulila: Nitaipaisha Kigoma Kusini


Na Alfred Lucas - Imechapwa 03 August 2011

KATIKATI ya mjadala wa Mpango wa Maendeleo wa miaka mitano, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alichafua hali ya hewa kwa kutawataja kwa majina wabunge wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwamba waliomba rushwa.

Jabir Idrissa's picture

NCCR ipi ya kushikamana na CUF leo?


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 06 April 2011

TAZAMA picha hii: Profesa Ibrahim Lipumba na James Mbatia wamesimama pamoja jukwaani. Mikono yao miwili imeshikamana. Profesa ndiye ameshika mkono wa kushoto wa Mbatia kwa kutumia mkono wake wa kulia. Ameuinua juu na anapiga mayowe ya mshikamano.

Saed Kubenea's picture

Hujuma dhidi ya CHADEMA nje


Na Saed Kubenea - Imechapwa 02 February 2011

Zitto kung’olewa rasmi

MRADI wa vyama vitatu vya upinzani nchini unaolenga kupunguza nguvu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bungeni, huenda ukakwama.

Stanislaus Kirobo's picture

Hatua ya Marando sahihi


Na Stanislaus Kirobo - Imechapwa 30 September 2008

UCHAGUZI mdogo wa jimbo la Tarime umeanza kuonyesha athari zake katika siasa za upinzani. Tayari mtafaruku umeukumba uongozi wa chama cha upinzani nchini cha NCCR Mageuzi.