Ulimboka


Mlolongo wa habari kuhusu Dk. Steven Ulimboka

Jabir Idrissa's picture

Amani yatoweka


Na Jabir Idrissa - Imechapwa 04 July 2012

UHAI wa Dk. Steven Ulimboka uko mashakani. Viongozi wenzake wa Jumuia ya Madaktari Tanzania wanaishi kwa hofu. Wanachama wa Chama cha Madaktari nchini nao wanahofia kukamatwa, kuteswa na labda kuuawa.

Kondo Tutindaga's picture

KUTEKWA ULIMBOKA: Tume huru kutoka jeshi lisilo huru!


Na Kondo Tutindaga - Imechapwa 04 July 2012

TUKIO la kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven Ulimboka litatuvua nguo kama taifa.

Joster Mwangulumbi's picture

Serikali ‘imemfanyizia’ Dk. Ulimboka?


Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 04 July 2012

DOKTA Steven Ulimboka, mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari amekumbana na kikosi cha watekaji, watesi na wauaji.

Nyaronyo Kicheere's picture

Msitu wa Pande kama Msitu wa Ngong


Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 04 July 2012

KULE Kenya kuna eneo maarufu sana linaloitwa Msitu wa Ngong. Msitu huu ulipata umaarufu hapo awali kwa ufugaji na ufundishaji wa farasi wa kushiriki katika mashindano ya mbio na michezo mbalimbali inayoshirikisha farasi.

Paschally Mayega's picture

Tanzania sasa nchi ya kuteka, kutesa


Na Paschally Mayega - Imechapwa 04 July 2012

ULIMWENGU unayugayuga. Nchi inayawayawa kama machela. Dunia hii inanitisha! Niende wapi nifarijike? Ninatembea kidogokidogo nikinyatanyata nikitamani kuunyakua uzima wa milele! Ee Mungu Baba nishike mkono, Ulimwengu huu utanipeleka wapi?