Recent comments


 • Dk. Slaa amweka pabaya Kikwete   9 years 10 weeks ago
  Ukiangalia kwa undani, hayo yoote anayoyasema Dr.Slaa si ya kukurupuka,a lot of billins, zinapotea pasipo eleweka, you see, huyu Mzee ana machungu na nchi yetu. Inabidi kweli tubadilike. Mungu akubariki Dr.Slaa
  WAGUMA
 • Dk. Slaa amweka pabaya Kikwete   9 years 10 weeks ago
  jamani Watanzania tuweke maslahi ya Taifa letu mbele, tuache ushabiki usokuwa na ticha. Ebu tuwape support Chadema ili at least viongozi wabadhlilifu wa mali za umma wawe na haya/soni. nchii hii ni ya kwetu sote.
  WAGUMA
 • Dk. Slaa amweka pabaya Kikwete   9 years 10 weeks ago
  Dr silaa jitahidi kuwafumbua watanzania macho Mungu akusaidie.
  KANCHI
 • Unaionaje Amani Tanzania?   9 years 11 weeks ago
  Mabadiriko yoyote yanayofanywa na ccm niusanii mtupu mana hao wanaoitwa mafisadi mwaka jana wakati wakampeni ndio walio kibeba chama nakukisaidia kupata ushindi ingawa wa mizengwe.Hata Kikwete alipita kwenye majimbo ya mafisadi hao nakuwaombea kura nawao walimwombea kura...Kwa hiyo ama tuna fanyiwa viini macho au kunatofauti za kimasirahi baina ya vigogo wa ccm.Lakini ukweli "kujivua gamba" si kwa faida ya Taifa!
  keja mhamba
 • Unaionaje Amani Tanzania?   9 years 11 weeks ago
  Mabadiriko yoyote yanayofanywa na ccm niusanii mtupu mana hao wanaoitwa mafisadi mwaka jana wakati wakampeni ndio walio kibeba chama nakukisaidia kupata ushindi ingawa wa mizengwe.Hata Kikwete alipita kwenye majimbo ya mafisadi hao nakuwaombea kura nawao walimwombea kura...Kwa hiyo ama tuna fanyiwa viini macho au kunatofauti za kimasirahi baina ya vigogo wa ccm.Lakini ukweli "kujivua gamba" si kwa faida ya Taifa!
  keja mhamba
 • Kikwete ‘jino kwa jino’ na Lowassa   9 years 11 weeks ago
  Katika maisha ya kawaida ya familia kama baba na mama hawana maelewano wazuri hata watoto basi huiga tabia za wazazi wao kwa kuwa hata wao wenyewe si rahisi kuwarekebisha watoto wao kama watabaki kwenye maisha yao ya ukachero. Kwa hiyo basi kama hawa CC wanasema wamejivua gamba na mfumo mzima wamebadili si kweli maana ingekuwa ni kitu halali basi hata mwenyekiti wao JK angejivua gamba lake maana yeye hana gamba tu ana mijigamba. Watanzania tusidanganyike kwani maendeleo hayaletwi na maneno ila ni vitendo. Swala hili ni sawa na kuuziwa wine mpya kwenye chupa ya zamani wasio werevu watakunywa ila werevu watakimbia na kuacha wajinga wanywe. So tuweni macho ndugu zangu na huu mchezo mchafuwa CC. Asante ni Deogratius Ezekiel from Dodoma.
  Deogratius Ezekiel
 • JK ameshindwa kunusuru chama chake   9 years 11 weeks ago
  Naungana na mwandishi wa makala hii yenye kusomeka "JK ameshindwa kunusuru chama chake" kuwauliza CCM katika jitihada zao za kujivua gamba swali hili:Ni magamba yapi yamevuliwa?Yaliyobaki yatavuliwa lini? Umma wa Watanzania unahitajibu majibu yao.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  Mwl. Mashare Constantine
 • Muswada ni udikteta mtupu, haufai   9 years 11 weeks ago
  Nimesoma makala ya ndugu Mabere Marando yenye kichwa cha habari "Muswada ni udikteta mtupu, haufaia". Nakubaliana naye kimsingi kuwa muswada husika huufai. Nashauri wote wenye nia njema watumie vipawa vyao kuhakikisha kuwa nchi yetu kwa mara ya kwanza baada ya uongozi wa CCM wa takribani miaka 50 tunapata katiba inayotokana na umma wa Tanzania na sio serekali na chama cha mapinduzi. Mabere anasema 'Watanzania tusibweteke.Tutambue jambo moja, kwamba haiwezekani CCM kiweke Katiba itakayozaa fursa ya kukiondoa madarakani'. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  Mwl. Mashare Constantine
 • Kikwete ‘jino kwa jino’ na Lowassa   9 years 11 weeks ago
  Hukuna marefu yasiyo na ncha. Mwisho wa siku au nyakati tutashuhudia mambo mawili ya lazima yakitokea katika historia ya nchi yetu. La kwanza ama 'jahazi' likizama kama anavyoeleza Makongoro Nyerere na/ au pili vinara wa ufisadi kwa majina yao wakiachia ngazi. Siku si nyingi kwa mujibu wa 'propaganda' ya kujivua gamba, nazo sio zaidi ya tisini. Za mwizi ni arobaini. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  Mwl. Mashare Constantine
 • Prof. Safari: Saa ya ukombozi ni sasa   9 years 11 weeks ago
  Pro Safari uamzi wako wa kujiunga na Chadema ni wa manufaa sana kwa taifa, CUF wamefunga ndoa na CCM, hawana jipya kwa mtu anayetamani kuwaona wana wa Tanzania wananufaika na raslimari zao, tunawaomba wasomi na watu wenye heshima kubwa katika jamii kujiunga na chadema ili kuing'oa CCM madarakani. Ili CCM ing'oke madarakani inahitaji umaoja na mshikamano wa nguvu kielimu, kifedha, nk. Tofauti na hapo CCM watatuchezea sana, hawana sera wala mpango wa kuendeleza nchi, wametanguliza maslahi yao na familia zao. Wakati wa ukombozi ni sasa kama anavyosema Safari. Tutateseka sana pamoja na elimu zetu nk, tusijifanye wanafiki huku tunawasifu CCM huku tunawaponda, tuonyeshe msimamo wetu...basi, miaka 50 ya utawala wao inawatosha na imetutosha, tunataka kitu kipya, viongozi wenye fikra mpya lazima watoke nje ya CCM. Kikwete alipoingia madarakani alikuwa mzuri sana kwa miezi yake ya kwanza kwanza,tulipata tumaini na tukajua Tanzania mpya inazaliwa, nini kilitokea? nadhani alitishiwa kuuwawa na wenyenye chama! mfumo mbaya wa CCM ukamtoa barabarani. Sio Kikwete anayekumbatia mafisadi, CCM yenyewe ndilo fisadi linalokumbatia mafisadi wenzake. Wito wetu ni huu, wasomi na matajiri na watu wengine, kwa kuwa Chadema ndicho chama chenye nguvu kubwa kisiasa tuwaunge mkono ili wawang'oe CCM madarakani kisha tutajipanga mebeleni na vyama vyetu.
  mwita1976
 • NCCR ipi ya kushikamana na CUF leo?   9 years 11 weeks ago
  ndugu Awadhi niwesoma maoni yako juu ya habari yenye kichwa habari "NCCR ipi ya kushikamana na CUF leo?" mwandishi wake akiwa Jabir Idrissa. kwa mtizamo wangu wa haraka haraka inaonekana hukupendezwa na mtindo wa uandishi wa habari hiyo. natofautiana kidogo na mtizamo huo kwa vie mwandishi ametumia vizuri vipawa na ujuzi wake kufikisha ujumbe aliokusudia .nampongeza sana mwandishi Jabiri Idrissa. endelee na kazi yako. mchango wako ni muhimu na wa kipekee kwa taifa letu. hongera.
  Mwl. Mashare Constantine
 • NCCR ipi ya kushikamana na CUF leo?   9 years 11 weeks ago
  huku pita habari yako nini? hivi hiyo picha unayo izungumzia ya prof lipumba kumshika mkono mbatia unayo tuambia tuitizame ni ipi hasa, kuwa serious acha utani na kazi hukupitia kabla ya kupost ndio ni vikosa vidogo vidogo lakini ndo haba na haba hujaza kibaba
  awadh
 • Prof. Safari: Saa ya ukombozi ni sasa   9 years 11 weeks ago
  hiyo hadithi hapo juu siyo sahihi imepotoshwa inawezekana imepotoshwa makusudi au bahati mbaya sasa kama ni bahati mbaya basi irekebisheni na muarifu umma kwamba ilkosewa lakini kama ni makusudi mutakaa kimya.
  awadh
 • CCM wanasubiri nguvu ya umma   9 years 11 weeks ago
  Taifa letu limefika mahali ambapo lazima jambo lolote jema kama katiba itayokidhi mahitaji ya Watanzania lipatikane kwa nguvu ya umma.Kwa kiasi kikubwa uamuzi wa hivi karibuni wa serekali na bunge, kuondoa muswada wa marejeo ya katiba kwa sababu mbalimbali umekuja kutoka na hoja ya maandamano ya CHADEMA kuupinga, pamoja matukio ya baadhi ya wanachi wa Zanzibar likiwepo la kuchomwa kwa nakala zake hadharani. Na hivyo Prince Bagenda yuko sahihi anaposema "Katiba ni mapambano. CCM inasema itawasikilizeni, lakini msitarajie kupewa kila kitu. Ni lazima mdai" Kwa maana hii lazima nguvu ya umma wa Tanzania itumike kudai katiba mpya 'kwa ccm hawatatoa kila kitu lazima tudai' na kwa maelezo ya Bagenda lazima tuingie katika 'mapambano'.
  Mwl. Mashare Constantine
 • Prof. Lipumba: Huu ni wakati wa kujenga CUF   9 years 11 weeks ago
  Ni kweli unayosema lazima CUF wajitahidi ili kupata mafanikio. Kwani vijana watakuwa wanakipenda chama kutoka moyoni ukilinganisha na watu waliokuwepo kwenye siasa siku nyingi. lakini siasa za Tanzania ni za ajabu sana kwani mwaka 1995 NCCR-Mageuzi kilikuwa chama tishio sana ukilinganisha na vyama vikubwa vilivyoanzishwa ikiwemo CHADEMA, CUF na UMD. Mwishowe wakasambaratika. Mimi kwa maoni yangu Prof. Lipumba engestep down nakuwaachia vijana wengine wasukume gurudumu.
  gombera2000
 • Prof. Safari: Saa ya ukombozi ni sasa   9 years 11 weeks ago
  Kwa Tanzania vyama vimekuwa kama team za mpira leo utachezea Simba kesho Yanga. Kwa hiyo Prof. Safari asiseme mengi kwani ninafikiria huko mbele anaweza akajiunga na chama kingine. Awa ndio wasomi tunaowategemea katika mabadiliko ya nchi hii lakini wanaonekana wababaishaji zaidi. Sitegemei kama nchi inaweza kuendelea kwa vile akiingia madarakani ataendelea kubabaisha.
  gombera2000
 • CCM ikivuliwa gamba itavuja sana   9 years 11 weeks ago
  Bwana Kubenea ni kweli kabisa kuwa ccm ikivuliwa gamba itavuja sana. Hii ni kutokana na ukweli kuwa ccm ndio gamba lenyewe na hakuna cha kujivua. Ushahidi ni matokeo ya hivi karibuni kule Dodoma.Hukuna kipya sana cha kujivunia katika maamuzi yaliyofikiwa na vikao vya juu vya cmm.Shida/ tatizo kubwa la Watanzania sio majina ya watu katika safu za uongozi bali ukosefu wa maadili kwa viongozi wetu. Wenye kashfa mbalimbali bado wapo madarakani na ndani ccm. Kwa maana hiyo ccm kujivua gamba ni kazi kweli kweli, na hivyo itavuja sana ikivuliwa gamba.
  Mwl. Mashare Constantine
 • Unaionaje Amani Tanzania?   9 years 12 weeks ago
  Ujuwe kuna viongozi kwenye CCM ambao wanatenda kazi zao ndani ya chama ili kumuangusha Rais na mwenyekiti wa CCM kwa maksudi kabisa mfano Richard Hiza Tabwe kukusanya watoto wadogo katika majadala wa Karimjee Hall ni aibu tupu. Runinga ilionyesha dunia nzima, even CNN. Was there any credit for CCM for what he did?
  richard bura
 • Unaionaje Amani Tanzania?   9 years 12 weeks ago
  CC ya jivua gamba...nyoka akijivua gamba hurefuka zaidi.
  keja mhamba
 • Waliogundua dhahabu wamebaki mafukara   9 years 12 weeks ago
  Lakini serikali nayo iwe inaangalia raia wake jamani.Aiseee.............
  KANCHI
 • Siri za CCM, CUF zavuja   9 years 12 weeks ago
  CCM $ CUF now the same political party there is no opposition as tanzania citizens we know that.Next election CUF party must have very few members in the parliament if they will not be carefull and the party will drop down and it will not stand up again because CCm continue to be very strong. LIPUMBA try to think abut that if you real want your party to be strong.
  KANCHI
 • Wezi wa Dowans hawa   9 years 12 weeks ago
  Mbona serikali hii inaficha sana watu wabovu katika nchi mbona tunamkumbuka sana Mwalimu Nyerere.Lakini ipo cku
  KANCHI
 • Sumaye apembua UV-CCM   9 years 12 weeks ago
  Jamani, kama Sumaye anataka kugombea urais ni haki yake kwani na yeye ni mwanachama toka siku nyingi.
  KANCHI
 • CCM ikivuliwa gamba itavuja sana   9 years 12 weeks ago
  Umakini CCM umepotea pamoja na kuvunja Seckretariet na kufanya mabadiliko ya wajumbe sioni mabadiliko muhimu yalio fanyika kwani unatoa fisadi mmoja unarudisha mwingine labda mnafikiri wa Tanzania hawana kumbukumbu ya watu walio wahi kufanya ufisadi kwa kutumia nafasi zao za uongozi hapo mnamshawishi nani? Huyo fisadi alie ingia atweza kumkemea nani wakati sifa yake inajulikana.
  Benoit
 • Tundu Antipas Lissu: Ataka ubunge Singida Kusini-Mashariki   9 years 13 weeks ago
  Did Lissu won? He's got a nice platform and I guess there are people who believe in him too. Who would support him all the way. -- Wedding hair updos
  glenn