HABARI MAHUSUSI

Mkapa alimtosa Mwandosya

Na Saed Kubenea 03 Jun 2008

Mark Mwandosya
Alimzunguka katika maamuzi
Mwenyewe alitaka kujiuzulu

MCHAKATO wa ubinafsishaji wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL), chini ya serikali ya Rais Benjamin Mkapa ulighubikwa na vitimbi na nusura umng'oe Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi.

 
Na Mwandishi Maalum 03 Jun 2008

TANGU zilipoibuka taarifa za kifo cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Dk. Daudi Ballali, Watanzania tumekuwa na maoni mchanganyiko kuhusu kifo hicho.

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Mbasha Asenga 03 Jun 2008

KWA Wakristo wanafahamu simulizi ya mwanampotevu aliyemdai baba yake urithi. Baada ya kupewa akaenda kula na makahaba hadi alipomaliza kila kitu na kuwa fukara wa kutupa.

 
Rais  Amani Abeid Karume
Na Jabir Idrissa 03 Jun 2008

HEBU fikiria. Katika hali ambayo Zanzibar iko gizani kwa zaidi ya wiki mbili sasa, anatokea mtu anakupelekea utani ufuatao juu ya rais wa Zanzibar:

 

KATIKA miezi michache iliyopita, serikali imetoa matamko yanayopingana kuhusu hatima ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Wakati fulani, sisi wanahabari tulimuuliza Rais Jakaya Kikwete, tukitaka kujua msimamo wake kuhusu tuhuma mbalimbali zinazotolewa juu ya Rais Mkapa.

08/04/2010