HABARI MAHUSUSI

Mtandao wa JK wadaiwa kuchota mabilioni BoT

Na Mwandishi Wetu 11 Jun 2008

Rais  Jakaya Kikwete
Mkapa ashika kichwa, alalama
Makampuni yaliota kama uyoga

MSULULU wa makampuni yaliyokwapua mabilioni ya shilingi kutoka Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu (BoT), unadaiwa kunufaisha kampeni za Rais Jakaya Kikwete, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Jaji Mkuu,  Augustino Ramadhani
Na Alloyce Komba 12 Jun 2008

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete ameteua majaji wapya 11, wakiwemo wanawake saba, wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Msajili wa Mahakama ya Rufani kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Phillemon Luhanjo.

 
Rais Robert Mugabe
Na Joseph Mihangwa 11 Jun 2008

TOFAUTI na viongozi wengi wa Kiafrika, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amedhihirisha jambo moja kubwa: kiongozi mzuri ni yule aliye tayari kutetea maslahi ya taifa na watu wake.

 
Askofu Pengo
Na Mwandishi Wetu 11 Jun 2008

MWANZONI mwa wiki hii maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wametoa kauli nzito dhidi ya serikali, wakirejea ugumu wa maisha ya wananchi.

 
08/04/2010