HABARI MAHUSUSI

Chenge na tuhuma mpya

Na Mwandishi Wetu 17 Jun 2008

ANDREW Chenge
Ni ushirikina ukumbi wa Bunge

ANDREW Chenge, ambaye anakabiliwa na tuhuma za "ufisadi" sasa ametoswa katika tuhuma mpya za ushirikina.

 
Rosemary Kasimbi Kirigini
Na Mwandishi Wetu 17 Jun 2008

HANA majivuno. Anajiheshimu na anaheshimu wengine pia. Ni Rosemary Kasimbi Kirigini (34). Mbunge wa Bunge la Muungano kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia Viti Maalum, mkoa wa Mara.

 
Ze Comedy
Na Yusuf Aboud 17 Jun 2008

SWALI kubwa ambalo watazamaji wa televisheni wanajuliza ni: "Waigizaji wa Ze Comedy" wamehama Cannel 5 ya East Africa Television (EATV)

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 17 Jun 2008

SASA imedhihirika wazi kwamba serikali ya Rais Jakaya Kikwete haina ubavu wa kutenda yale ambayo rais aliahidi kabla ya kuingia madarakani.

 

KUTOKA kaulimbiu ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, hadi vikao visivyo na ajenda mahsusi. Hii ndiyo picha inayojengeka haraka tunapotafakari mwenendo wa utendaji kazi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

08/04/2010