HABARI MAHUSUSI

Usalama wa Taifa wabinafsishwa

Na Mwandishi Wetu 01 Jul 2008

Rais Jakaya Kikwete
Serikali yaingizwa mkenge
Siri sasa zaanza kufumuka

KAMA kampuni ya Meremeta Limited inahusika na ulinzi na usalama wa taifa, kama alivyoeleza Waziri Mkuu Mizengo Pinda, basi usalama wa nchi umebinafsishwa

 
MAKAMU  mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chacha Wangwe
Na Mwandishi Wetu 01 Jul 2008

MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chacha Wangwe, 'amejiweka kitanzi' kutokana na kukaidi ushauri aliopewa na Kamati ya Wazee ya chama hicho

 
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira
Na Joseph Mihangwa 01 Jul 2008

KILIMO na maji ndiyo sekta zilizopangiwa fungu dogo zaidi kibajeti kwa mwaka wa fedha ulioanza jana, Julai mosi.

 
Mbunge wa Kwela,  Chrisant Mzindakaya
Na Peter Wambura 01 Jul 2008

HATUA ya Mbunge wa Kwela, Chrisant Mzindakaya (CCM), kuwashambuliwa wabunge na wananchi wanaomtuhumu Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwa kutumia vibaya ofisi ya rais katika kipindi cha utawala wake, imewashangaza wengi.

 

UFISADI na ukosefu wa utawala bora ni matatizo yanayoitia doa serikali ya awamu ya nne iliyoingia madarakani kwa kaulimbiu ya 'ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.'

Nyumba ya Kikwete inavuja; naye amekaa kimya Saed Kubenea [2,154]
Pinda ameamua "kufa" ili waovu wapone Mbasha Asenga [1,953]
'Siri za serikali' zinalenga kulea ufisadi Stanislaus Kirobo [1,843]
Vitisho ni aina ya ufisadi Ndimara Tegambwage [1,831]
Uchaguzi UV-CCM waingia dosari Siame Baramia [1,685]
Tuna amani Tanzania? Haiwezekani! Jabir Idrissa [1,584]
08/04/2010