HABARI MAHUSUSI

Bomu la Mwakyembe lalipuka

Na Saed Kubenea 08 Jul 2008

Mke wa Edward Lowassa akiwa na majonzi Bungeni
Ni katika Sakata la Richmond
Mke wa waziri alipigia magoti Kamati

MKE wa mmoja wa mawaziri watatu waliojiuzulu kutokana na sakata la Richmond, alipigia magoti baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge akiomba wamlinde mume wake, imefahamika.

 
Waziri Joel Bendera
Na Jabir Idrissa 08 Jul 2008

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limedanganywa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera.

 
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa
Na Mwandishi Wetu 08 Jul 2005

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, ameendeleza tabia yake ya kudharau vyombo vya habari nchini kwa kile alichoita, 'vinarudiarudia kuandika habari zinazosemwa na wanasiasa badala ya kufanya uchambuzi juu ya sera, uamuzi na mwelekeo.'

 
Rais  Amani Abeid Karume
Na Salim Said Salim 08 Jul 2008

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imeanzisha sinema. Ni sinema ya aina yake kwa waandishi wa habari na wananchi.

 
TAHARIRI: Taifa linayumba

RAIS Jakaya Kikwete ni kiongozi wa taifa na amiri jeshi mkuu mwenye jukumu la kuwa msimamizi wa ulinzi wa jamhuri na amani ya wananchi katika jamhuri nzima.

Wabunge 36 kuhujumiwa [1,837]
Serikali yaua TTCL Jabir Idrissa [1,677]
Kuna amani Tanzania? Jabir Idrissa [1,613]
Mzigo wa Dowans tumeutua, wa IPTL lini? [1,534]
Hivi tutalindana mpaka lini? Rehema Kimvuli [1,437]
AU yaasisi mbinu za kulindana Iddy Mkwama [1,403]
08/04/2010