HABARI MAHUSUSI

Rais Kikwete atapeliwa

Na Saed Kubenea 15 Jul 2008

Mwenyekiti Baraza la Wadhamini UV-CCM, Edward Lowassa
Ni katika mradi wa mabilioni
Edward Lowassa ahusishwa

BARAZA la Wadhamini la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), limemtapeli Rais Jakaya Kikwete katika mradi wa mabilioni ya shilingi, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Jaji Joseph Sinde Warioba
Na Jabir Idrissa 15 Jul 2008

UONGOZI wa kampuni ya Celtel International jijini Dar es Salaam, umeshindwa kujibu tuhuma zinazoukabili kuhusu kutumia mali za TTCL kujiimarisha.

 
Nape Nnauye
Na Saed Kubenea 15 Jul 2008

MWANASIASA kijana ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UV-CCM).

 
Askofu wa KKKT
Na Mbasha Asenga 15 Jul 2008

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, limejikuta katikati ya mgogoro wa kisiasa. Ni jambo la fedheha kuona baada ya kufanya kosa kubwa, sasa linalazimika kutumia nguvu nyingi kujisafisha.

 

JANUARI 8, mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete aliunda timu maalum ya kufuatilia wahusika wa ufisadi wa mabilioni ya shilingi yaliyochotwa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Bunge likinyamaza, wananchi wanasema Mwandishi Maalum [2,014]
Ngasongwa: Niko karibu na wananchi William Kapawaga [1,908]
Rostam ajiongezea maadui Saed Kubenea [1,886]
Vita Dhidi ya Ufisadi: Nafasi ya vyombo vya habari Rehema Kimvuli [1,838]
Serikali isisubiri maafa Yusuph Katimba [1,514]
08/04/2010