HABARI MAHUSUSI

Mradi wa UV-CCM, kashifa tupu

Na Saed Kubenea 22 Jul 2008

YUSUPH Makamba, Katibu Mkuu  wa Chama Cha Mapinduzi
Makamba amdanganya Kikwete
Nchimbi, Isaack wakumbwa na aibu

YUSUPH Makamba, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni mwongo, MwanaHALISI limegundua. Wiki iliyopita Makamba aliwaambia waandishi wa habari kuwa mkataba kati ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na mwekezaji ulikuwa haujatiwa saini.

 
Edward Lowassa
Na Saed Kubenea 22 Jul 2008

Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba sasa wanaelekea ukingoni kisiasa.

 
Na Ndimara Tegambwage 22 Jul 2008

HATUA ya polisi kuvamia ofisi za MwanaHALISI na kupekua kompyuta kwenye chumba cha habari na nyumbani kwa mtedaji mkuu wa gazeti hilo, ni ushahidi tosha kwamba sasa serikali imekosa uvumilivu.

 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha
Na Mbasha Asenga 22 Jul 2008

HALI ya mambo inavyoendelea nchini sasa juu ya mapambano dhidi ya ufisadi inatoa picha moja kubwa, kwamba serikali inakaribia kusalimu amri. Huu ni ukweli ambao hakuna kiongozi wa wa juu serikalini atakayekubali kuukiri hadharani.

 

NI jambo la kustaajabisha kwamba Polisi wamepata ujasiri wa kutumiwa ili kuvitisha vyombo vya habari. Ijumaa iliyopita Polisi walivamia na kupekua ofisi za gazeti la MwanaHALISI pamoja na nyumbani kwa Saed Kubenea

08/04/2010