HABARI MAHUSUSI

Sakata la Rada: Mteule wa Kikwete yumo

Na Saed Kubenea 05 Aug 2008

Dk. Idris Rashid, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
Anamiliki akaunti Uingereza
Hoseah adaiwa kuvujisha taarifa

MTEULE na swahiba wa Rais Jakaya Kikwete amehusishwa na kashfa ya ununuzi wa rada inayochunguzwa na makachero wa Uingereza.

 
Marehemu Chacha Zakayo Wangwe
Na Mbasha Asenga 05 Aug 2008

WIKI iliyopita, Watanzania hususani wananchi wa jimbo la Tarime na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), walipatwa na msiba wa mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe,

 
PETER Kisumo
Na Mwandishi Wetu 05 Aug 2008

PETER Kisumo amechoka. Anahitaji msaada. Lakini wale ambao wangempa msaada ni wanafiki. Wanasemea kiganjani. Ni aina ya "kakitandugaho"? wale wasiojiamini na waoga wa kuwa chanzo cha mjadala.

 
Na Eligius Mulokozi 05 Aug 2008

HIVI karibuni Rais Kikwete, akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga alisema, "Maisha ni magumu; Watanzania waendelee kuvumilia."

 

TUMEKUWA tukichapisha taarifa nzito kuhusu hali ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwa muda sasa. TTCL ni kampuni iliyoingizwa kwenye mkenge na serikali kwa kuwakabidi wageni kuiendesha tokea mwaka 2001.

07/04/2010