HABARI MAHUSUSI

Kikwete amliza Lowassa

Na Saed Kubenea 12 Aug 2008

Edward Lowassa
Asema mkataba hauna maslahi
Aelekea kuunga mkono Nape

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Kikwete amesema mkataba wa mradi wa ujenzi wa kitegauchumi cha Umoja wa Vijana (UV-CCM), una dosari nyingi na haukubaliki kama ulivyo, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
Na Jabir Idrissa 12 Aug 2008

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema hakina imani na juhudi za Rais Jakaya Kikwete za kupambana na rushwa kwa kuwa uongozi wake ulipatikana kwenye misingi ya rushwa.

 
Na Saed Kubenea 12 Aug 2008

SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (TANESCO), kwa mara nyingine, limesema linataka kupandisha gharama zake za umeme nchini.

 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Na Jabir Idrissa 12 Aug 2008

NINAENDELEZA mjadala ulioanzishwa na majibu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa kutumia haki yangu kama mwananchi huru katika nchi huru.

 

KWA mara nyingine, gazeti hili limetishiwa na serikali. Nasi hatuna budi kutaarifu wenye gazeti hili ambao ni ninyi wasomaji; na hivyo ndivyo tufanyavyo sasa.

07/04/2010