HABARI MAHUSUSI

Masikini Lowassa

Na Saed Kubenea 19 Aug 2008

Aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa
Mjumbe wa Baraza la Wadhamini amkana
Dk. Nagu naye adaiwa kutoshiriki mkataba

MGOGORO kuhusu mkataba wenye utata wa Umoja wa Vijana wa CCM umeingia katika sura mpya baada ya baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wadhamini kuukana, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA
Na Jabir Idrissa 19 Aug 2008

CHAMA  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kina mpango wa kushitaki magazeti manne nchini kwa kumhusisha mwenyekiti wake, Freeman Mbowe na kifo cha aliyekuwa mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe.

 
Nape Nnauye
Na Mwandishi Wetu 19 Aug 2008

KAMATI ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM (UV-CCM), imewapa viongozi wake wawili wa ngazi ya juu alama “E” inayoonyesha kuwa wamekataliwa kugombea uongozi kwa kuwa “wana dosari.”

 
Mkurugenzi wa TAKUKURU, Edward Hoseah
Na Rehema Shaibu 19 Aug 2008

TUHUMA dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) zinazidi  kulundikana.

 

IKULU ni ofisi yenye hadhi kubwa. Hadhi yake inatokana na kuwa ndio mahali pa kuthibitisha taswira nzima ya nchi na watu wake. Ikulu ndio makao makuu ya rais na chimbuko la maamuzi mazito ya kitaifa na kimataifa.

08/04/2010