HABARI MAHUSUSI

Kashfa ya EPA: Vigogo hawakuhojiwa

Na Saed Kubenea 26 Aug 2008

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Philip Mangula
Mwanyika, Mwema waingia mitini

TIMU ya Rais Jakaya Kikwete ya kuchunguza ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), haikuwahoji watu muhimu katika kufanikisha kazi yake, MwanaHALISI limeelezwa.

 
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi
Na Ndimara Tegambwage 26 Aug 2008

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi amekuwa mmoja wa mawaziri wanaosema ukweli.

 
Mustafa Mkullo, Waziri wa Fedha
Na Ndimara Tegambwage 26 Aug 2008

HOJA ya Mustafa Mkullo, Waziri wa Fedha, kwamba zaidi ya Sh. 133 bilioni zilizochotwa na makampuni 22 yaliyooteshwa kama uyoga katika kipindi cha wiki mbili, hazikuwa za BoT wala serikali, si muhimu na ina lengo baya.

 
Suileman Nyambui
Na Mwandishi Wetu 26 Aug 2008

KWA mara nyingine, Tanzania inarejea nyumbani mikono mitupu baada ya kushindwa kuambulia medali hata moja katika michezo ya Olimpiki.

 

RAIS Jakaya Kikwete ameonyesha kuwa muda si mrefu hasira yake itavishukia vyombo vya habari. Akihutubia Bunge, Alhamisi, 21 Agosti 2008, rais alionya juu ya kile alichoita kutumia vibaya uhuru wa kutoa maoni.

07/04/2010