HABARI MAHUSUSI

Lowassa kiboko

Na Saed Kubenea 02 Sep 2008

Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la UV-CCM, Edward Lowassa
Asaini mkataba pekee yake
Makamba: Tutaita Kamati Kuu

MKATABA wa kitegauchumi cha ujenzi wa jengo la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM) umechukua sura mpya baada ya wajumbe wa Baraza la Wadhamini mmoja baada ya mwingine, kumkana mwenyekiti wao, Edward Lowassa.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na Mwandishi Wetu 02 Sep 2008

EPA na Richmond ni mchezo mmoja wenye waigizaji walewale. Hata Rais Jakaya Kikwete anajua hivyo.

 
Kingunge Ngombale-Mwiru
Na Stanislaus Kirobo 02 Sep 2008

KAMA kuna mwanasiasa katika nchi hii ambaye hataki kwenda na wakati, basi huyo ni Kingunge Ngombale-Mwiru. Ni mwanasiasa mkongwe pengine kupita wote ambaye bado anajishughulisha katika siasa.

 
Fedha za EPA ni za umma Mwandishi Maalum [2,112]
Wachimba mkaa bila leseni Kenneth Mwazembe [1,759]
Serikali yachelewesha mgombea binafsi Alloyce Komba [1,672]
OIC ni ajenda tata ya shinikizo la vizito Joseph Mihangwa [1,550]
Wahadzabe walia njaa: Wasema hawajafikiwa utawala bora Iddy Mkwama [1,390]
07/04/2010