HABARI MAHUSUSI

Membe amwokoa Kikwete

Na Saed Kubenea 16 Sep 2008

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe
NEC ilikaribia kupasuka
Ni katika sakata la Nape

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe ndiye alimwezesha Rais Jakaya Kikwete kubaini njama za kupasua Chama Cha Mapinduzi (CCM)

 
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), Emmanuel Nchimbi
Na Mwandishi Maalum 16 Sep 2008

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UV-CCM), Emmanuel Nchimbi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuph Makamba wameumbuka.

 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba
Na Mwandishi Wetu 16 Sep 2008

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amevutwa shati na mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete.

 
Kapteni John Komba
Na Mwandishi Wetu 16 Sep 2008

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba amezama katika tope jipya baada ya kutuhumiwa kumlinda Kapteni John Komba anayedaiwa kutafuna mamilioni ya shilingi.

 

SAFU ya MwanaHALISI inaundwa na watu wenye akili timamu na wanaofanya kazi ya uandishi wa habari kwa nia njema kwa taifa lao.

Uwazi na fasihi ya EPA Ndimara Tegambwage [2,474]
Serikali yaijia juu MwanaHALISI [1,480]
Bunge lisigeuzwe kichekesho Salim Said Salim [1,269]
07/04/2010