HABARI MAHUSUSI

Uchaguzi UWT: Kambi za 2005 hazijavunjwa

Na Saed Kubenea 23 Sep 2008

Mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba

INAWEZEKANA RAIS Jakaya Kikwete amevunja kambi yake ya wakati wa uchaguzi mwaka 2005, lakini ameivunjia rohoni mwake.

Inasadikika ni rohoni mwake kwa kuwa wale waliokuwa wapambe wake wanaonekana kuwa bado wana donge la mwaka 2005.

 
CHARLES Mwera Nyanguru
Na Jabir Idrissa 23 Sep 2008

CHARLES Mwera Nyanguru ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, mkoani Mara. Anatafuta kofia nyingine ya chama chake. Ni ubunge.

 
Utalii Tanzania: Vyanzo vingi havijatumika vizuri Zaynab Turuku [1,935]
Nani aende Dodoma? Frank Chalamila [1,596]
Wakati gani serikali inakuwa ya watu? Joseph Mihangwa [1,478]
07/04/2010