HABARI MAHUSUSI

Songas: Kufuru tupu

Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

Kiwanda cha kufua umeme wa gesi cha Songas
Kibanda cha walinzi chameza Sh. 40 milioni
Mkandarasi wa ujenzi aagizwa kutoka nje

KAMPUNI ya kufua umeme wa gesi ya Songas ya jijini Dar es Salaam, ambayo inadaiwa kusababisha mgawo wa umeme, imejenga vibanda vya walinzi langoni kwa gharama ya zaidi ya Sh. 40 milioni.

 
MCHUNGAJI Christopher Mtikila
Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

MCHUNGAJI Christopher Mtikila, ambaye yuko hapa kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa jimbo la Tarime, amefanya kazi kubwa kwa ajili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko chama chake.

 
Marehemu Chacha Zakayo Wangwe
Na Mbasha Asenga 30 Sep 2008

VYAMA vya siasa vinavyowania ubunge wa jimbo la Tarime vipo katika kampeni ya kunadi wagombea wake ili wapate ridhaa ya wananchi kuchukua kiti hicho. Jimbo hilo limetokea kuwa moja ya majimbo yenye ushindani mkali wa kisiasa nchini.

 
MBUNGE  wa Vunjo (CCM) Aloyce Kimaro
Na Mwandishi Wetu 30 Sep 2008

MBUNGE wa Vunjo (CCM) Aloyce Kimaro, bado anang’ang’ania watuhumiwa wa ufisadi na kusema, “Katika hili, katu sitarudi nyuma.”

 

TUMECHAPISHA ukurasa wa mbele kilio cha wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme wa gesi, Songas. Hakika ni vurugu tupu.

Tanzania kugeuzwa kinara wa ukoloni mamboleo! Joseph Mihangwa [2,566]
Hatua ya Marando sahihi Stanislaus Kirobo [2,036]
Uchonganishi Tarime hapana! Jabir Idrissa [1,633]
TANESCO na giza la kujitakia Saed Kubenea [1,617]
Msekwa anaturudisha nyuma Ndimara Tegambwage [1,602]
Mpango wa milenia wa UN: Tanzania yabakia nyuma Zaynab Turuku [1,541]
Majaji wenye mkataba hawalindwi na Katiba Alloyce Komba [1,375]
07/04/2010