HABARI MAHUSUSI

Njama kumng'oa Kikwete zafichuka

Na Saed Kubenea 07 Oct 2008

Rais Jakaya Kikwete
Mwanae Ridhiwani ashiriki njama
Watuhumiwa ufisadi wajipanga

KUNDI la watuhumiwa wa ufisadi limejipanga kumng’oa Rais Jakaya Kikwete ili asigombee urais mwaka 2010, MwanaHALISI limegundua.

 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere
Na Mwandishi Wetu 07 Oct 2008

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimezidi kupasuka wakati huu kinapoelekea katika uchaguzi mdogo wa ubunge na udiwani wilayani Tarime mkoani Mara.

 
Mpiga kura Tarime akionyeshwa jinsi ya kupiga kura
Na Mwandishi Wetu 07 Oct 2008

“SIKU zote nasimamia kile ninachokiamini. Mbunge atakayekuja hatakuwa wa watu walioletwa kutoka Dar es Salaam, bali atakuwa wa wananchi wa Tarime. Hivyo basi, ni vema wananchi wasiingiliwe katika maamuzi ya kuchagua mbunge wao.”

 
Spika Pandu Ameir Kificho
Na Jabir Idrissa 07 Oct 2008

BARAZA la Wawakilishi, chombo cha kutunga sheria Zanzibar linapita katika kipindi kigumu, pengine zaidi kuliko wakati wowote ule tangu lilipoanzishwa mwaka 1980.

 

INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema amesikika akisema, katika mkutano wake na waandishi wa habari wiki iliyopita mjini Dar es Salaam, kwamba hakuna fisadi atakayenusurika.

Tarime: Jumapili njema! Ndimara Tegambwage [2,039]
Uvamizi wa kiwanja wahusishwa na Ikulu Saed Kubenea [2,015]
Viwanda vikubwa vitaondoa umasikini Joseph Mihangwa [1,850]
Tarime waweza kumkataa mbunge wa kuchongwa Stanislaus Kirobo [1,845]
Barua ya wazi kwa Rais Jakaya Kikwete Mbwana Muungwana [1,773]
Gonjwa la wizi wa mitihani bado linatutafuna Mbasha Asenga [1,724]
07/04/2010