HABARI MAHUSUSI

Nyaraka EPA zaibwa

Na Saed Kubenea 14 Jan 2009

Benki Kuu
Zimo za Kagoda, Deep Green
Jinamizi lazidi kutanda BoT

UWEZEKANO wa serikali na Benki Kuu (BoT) kufanikiwa kupata ushahidi wa kuwatia hatiani waliokwapua mabilioni ya shilingi ni mdogo kufuatia taarifa kuwa nyaraka muhimu zimeibwa.

 
Na Ndimara Tegambwage 14 Jan 2009

SIYO siri tena. Katika Tanzania, baadhi ya wananchi wanawinda wananchi wenzao wenye ulemavu wa ngozi – Albino – na kuwaua.

 
Na Stanislaus Kirobo 14 Jan 2009

NANI mmiliki wa kampuni ya Kagoda Agriculture Limetd? Serikali ina uswahiba gani na kampuni hiyo hadi inashindwa kutaja mmiliki wake?

 
Rais  Jakaya Kikwete
Na Saed Kubenea 14 Jan 2009

SIKU 24 zilizopita Rais Jakaya Kikwete alitimiza miaka mitatu ya madarakani. Aliapishwa 21 Desemba 2005.

 
TAHARIRI: Tumerudi

KWA mara nyingine, MwanaHALISI liko mikononi mwako. Linatoka katika kifungo cha siku 90 kilichomalizika siku nne tu zilizopita.

Kesi za ufisadi ziendeshwe kwa Kiswahili Alloyce Komba [1,518]
Majanga 6 ya mwaka 200 Charles Nkwabi [1,436]
Uwakilishi wanawake CCM utata mtupu Mwandishi Maalum [1,255]
07/04/2010