HABARI MAHUSUSI

BoT "wizi mtupu"

Na Saed Kubenea 21 Jan 2009

Waziri wa Fedha wa sasa, Mustafa Mkullo
Makampuni yachota yatakavyo
Yamo pia Deep Green, Tangold

WIZI wa mabilioni ya shilingi katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ulifanywa kwa baraka za serikali, MwanaHALISI limegundua.

 
Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Halima Mdee
Na Mwandishi Wetu 21 Jan 2009

KESI ya aina yake inarindima. Inahusu makada wawili mashuhuri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Katibu Mkuu, Yusuph Makamba na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Salum Londa.

 
Mwanasheria Mkuu, Johnson Mwanyika
Na Alloyce Komba 21 Jan 2009

ALIYEKUWA mbunge wa Njombe Kusini (1990-1995) kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ndembwela Ngunangwa, hajalipwa mafao yake yanayofikia Sh. 721 milioni mpaka sasa.

 
Dk. Harrison Mwakyembe
Na Isango Josephat Ng’imba 21 Jan 2009

HUYU ndiye Dk. Harrison Mwakyembe au vyombo vya habari vimetudanganya? Soma kauli aliyonukuliwa akitoa na kukaririwa na gazeti la Mwananchi toleo la 14 Januari 2009:

 

HATIMAYE serikali imezinduka. Rais Jakaya Kikwete amesikia ingawa hakuweza kuchukua hatua iliyotarajiwa kuhusu uendeshaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL).

CHADEMA, CUF ondoeni "shetani" Stanislaus Kirobo [1,694]
Zilizokuwa changamoto 2005 ni matatizo leo Zanzibar Jabir Idrissa [1,583]
Hatuna mapatano na "wafalme" M. M. Mwanakijiji [1,538]
Nani mlinzi wa albino? Ndimara Tegambwage [1,536]
TASWA imemuona Kado, vipi Maximo! Alloyce Komba [1,700]
07/04/2010