HABARI MAHUSUSI

Kikwete atishia wenzake

Na Saed Kubenea 28 Jan 2009

Rais Jakaya Kikwete
Wapanga kuhama chama
Aliyotabiri Mkapa yaja

BAADHI ya viongozi na wanachama mashuhuri ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wana mpango wa kuanzisha chama cha siasa ili kuweka upinzani mkali kwa Rais Jakaya Kikwete ifikapo 2010, MwanaHALISI limeelezwa.

 
John John Mnyika
Na William Kapawaga 28 Jan 2009

ANAITWA John John Mnyika, lakini mwenyewe anapenda kuitwa (JJ). Ni Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje na Mahusiano ya Kimataifa, katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

 
Raila  Odinga
Na Zakaria Malangalila 28 Jan 2009

KUNA dalili kubwa kwamba ile Serikali ya Pamoja iliyoundwa nchini Kenya baina ya Chama cha PNU cha Rais Mwai Kibaki na Orange for Democratic Party (ODM) cha Raila Odinga ambaye sasa ni Waziri Mkuu imeshindikana.

 
Na Ndimara Tegambwage 28 Jan 2009

ACHA! Unavaa? Kaa ulivyo wakuone. Hivyo ndivyo ulivyo. Ndiyo sura yako halisi. Ndivyo matendo yako yalivyo. Kaa ulivyo wakuone.

 

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilianza mkutano wake jana mjini Dodoma huku Watanzania wakiwa na mashaka juu ya hatima ya mambo muhimu ambayo serikali haijapatia majibu.

07/04/2010