HABARI MAHUSUSI

Kikwete kumfukuza Masha?

Na Saed Kubenea 04 Feb 2009

Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha
Ni kutokana na zabuni ya vitambulisho
Adaiwa kumpotosha Waziri Mkuu Pinda

RAIS Jakaya Kikwete huenda akalazimika kumtosa  Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence  Masha kutokana na kashfa mbichi inayomkabili, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Padri Privatus Karugendo
Na Nkwazi Mhango 04 Feb 2009

KAVULIWA upadri kwa Padri Privatus Karugendo kumejadiliwa na watu wengi bali kuna kitu kimoja wengi wanakubaliana nacho: Ameonewa.

 
Yusuph Makamba
Na Mwandishi Wetu 04 Feb 2009

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama hicho, Salum Londa, wameingia mitini katika kesi yao dhidi ya mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Halima Mdee.

 
Na Mbasha Asenga 04 Feb 2009

WAAFRIKA kwa ujumla wetu tuna kitu kimoja kinachotuunganisha: Tunapenda kuishi maisha ya hali ya juu hata kama hatuna uwezo huo.

 

WAKATI Rais Jakaya Kikwete anajua kwamba Zanzibar kuna mgogoro, hata kama anaupaka rangi na kuuita “mpasuko;” na mgogoro umeleta maafa kisiasa, kiuchumi na kijamii, kauli zake akiwa ziarani Pemba zimepanua ufa.

07/04/2010