HABARI MAHUSUSI

Vigogo wahaha kumwokoa Masha

Na Saed Kubenea 11 Feb 2009

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha
Wafanya vikao hadi usiku
Baba yake atinga bungeni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, ambaye katika misingi ya utawala bora angekuwa ameshajiuzulu au amefukuzwa kazi, sasa ameanza kukingiwa kifua, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Laurent Desire Kabila
Na Mwandishi Maalum 11 Feb 2009

KINACHOITWA vita vya sasa nchini Kongo ni utekelezaji wa “Makubaliano ya Lemera” ya mwaka 1996 yenye shabaha ya kuigawa nchi hiyo kubwa kuliko yoyote ile Afrika Mashariki na Kati.

 
Barack Obama
Na M. M. Mwanakijiji 11 Feb 2009

MACHO yetu yameshuhudia historia ikiandikwa na itasimuliwa vizazi na vizazi.

 
Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Elimu ya juu na Mafunzo ya Ufundi
Na Ndimara Tegambwage 11 Feb 2009

SERIKALI haina sababu ya kuchekelea na kusherehekea kuhusiana na matokeo ya mtihani wa Kidato cha IV.

 

MBUNGE anaiuliza serikali bungeni: Wale waliochukua fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) na wakazirejesha ni akina nani na upi msimamo wa serikali kwa sasa baada ya kitendo cha kuzirejesha fedha walizoiba?

Sabuni ya Mbilinyi haimsafishi Mkapa Saed Kubenea [2,189]
Kikwete akiri kushindwa Zanzibar Jabir Idrissa [1,433]
Tunatawaliwa na walionunua uongozi Mbasha Asenga [1,267]
07/04/2010