HABARI MAHUSUSI

Siri ya Kagoda hii hapa

Na Saed Kubenea 18 Feb 2009

Rostam Aziz
Mkapa na Rostam watajwa
Peter Noni, Malegesi wamo

USHAHIDI wa kwanza na muhimu kwamba fedha zilizoibwa na Kampuni ya Kagoda kutoka Benki Kuu (BoT) uliidhinishwa na viongozi wakuu nchini, sasa umepatikana, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Mmiliki wa vyombo vya habari vya IPP Media,  Reginald Mengi
Na Stanislaus Kirobo 18 Feb 2009

VITA vimeanza kupitia vyombo vya habari. Wamiliki, wakiwatumia wahariri na waandishi wao, wanatupiana makombora, kufikia serikali kuingilia kati.

 
Na Mwandishi Wetu 18 Feb 2009

BUNGE limemaliza mkutano wake wa 14 bila kujadili hoja ya Mbunge wa Karatu, Dk. Willibrod Slaa (CHADEMA), kuhusu Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha kuingilia mchakato wa zabuni ya vitambulisho vya taifa. Mwandishi Wetu alifanya mahojiano na Dk. Slaa juu ya hoja yake.

 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha
Na Mbasha Asenga 18 Feb 2009

NI kawaida kwa wanasiasa kila wanapolikoroga kuibuka na kutafuta vizingizio lukuki juu ya chanzo cha makosa yao wenyewe. Ni nadra sana mwanasiasa kukiri makosa yake mwenyewe.  Huu ndiyo umekuwa utamaduni wa miaka nenda rudi.

 

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha anatuhumiwa. Anadaiwa kuingilia isivyopasa mchakato wa kutafuta mzabuni wa kutengeneza vitambulisho vya taifa.

07/04/2010