HABARI MAHUSUSI

Serikali yanywea

Na Saed Kubenea 25 Feb 2009

Rostam Aziz
Ni katika sakata la Kagoda
PM, DCI, DPP waweseka

SERIKALI imeshindwa kusema lolote kuhusiana na kushiriki katika wizi wa mabilioni ya shilingi kupitia kampuni ya Kagoda Agriculture Limited.

 
Ban Ki-moon
Na Ndimara Tegambwage 25 Feb 2009

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon anayetua Dar es Salaam kesho kwa ziara ya kikazi, huenda asifurahie ziara yake.

 
Amatus Liyumba
Na William Kapawaga 25 Feb 2009

MTUHUMIWA wa kwanza katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka yaliyoisababishia serikali hasa ya zaidi ya Sh. 220 bilioni, Amatus Liyumba, amefutiwa dhamana.

 

KUANZIA kufichuka kwa ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ilioko Benki Kuu ya Tanzania (BoT), mradi wa umeme wa Richmond hadi ule wa ujenzi wa majengo pacha ya BoT, palianza mashaka.

Makundi yaitafuna UV-CCM Saed Kubenea [1,630]
Sera ya Kitabu kimoja: Daraja la maarifa finyu Rutashubanyuma Nestory [1,551]
Dk. Rashid Dowans imekupa nini? Mbasha Asenga [1,362]
06/04/2010