HABARI MAHUSUSI

Rostam kinara wa Dowans

Na Saed Kubenea 11 Mar 2009

Rostam Aziz
Anajuana na Dowans, Kagoda
Serikali yamwangalia tu

MWANASIASA na mfanyabiashara Rostam Aziz ana siri kubwa kuhusu makampuni ya Dowans na Kagoda Agriculture Limited yanayotuhumiwa kwa kuhujumu uchumi.

 
Edward Lowassa
Na Owawa Stephen 11 Mar 2009

TAREHE 7 Februari 2008 aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa alilazimika kuachia ngazi nafasi hiyo kutokana na kashfa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond Development Company (LLC).

 
Makao Makuu TANESCO
Na Saed Kubenea 11 Mar 2009

KWA mara nyingine, serikali kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) imetangaza kujitoa katika mipango ya kununua mitambo ya kampuni ya Dowans Holding (Tanzania) Limited.

 

HOSPITALI ya Muhimbili inalumbana na mgonjwa Bernard Ibrahim. Siyo madaktari wote na watawala waliomo katika mzozo, lakini wachache wanaolumbana na mgonjwa wanaleta sura mbaya.

TUICO yameguka Alfred Lucas [1,994]
Usafir wa TRL: Kama binadamu, kama mnyama Issa Katoba [1,814]
Trafiki Kombe, tunataka vitendo Yusuph Katimba [1,417]
06/04/2010