HABARI MAHUSUSI

Mpango kununua Dowans waiva

Na Saed Kubenea 18 Mar 2009

Waziri wa Nishati na Madini,  William Ngeleja

SERIKALI na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), bado wanaendelea na mazungumzo ya kununua mitambo ya Dowans, MwanaHALISI limegundua.

 
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa
Na Mbasha Asenga 18 Mar 2009

BAKILI Muluzi, rais wa zamani wa Malawi anakabiliwa na mashitaka 80 ya rushwa na kujipatia mali ya umma visivyo.

 
Mweka Hazina wa CCM, Amos Makala
Na Alfred Lucas 18 Mar 2009

MIEZI 18 kabla ya uchaguzi mkuu wa 2010, tayari Suleiman Saddiq Murad, mbunge wa sasa wa Mvomero mkoani Morogoro, na Mweka Hazina wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makala, wameanza kutoana macho.

 
IGP Said Mwema
Na Alloyce Komba 18 Mar 2009

NAMFAHAMU binafsi Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Said Mwema tangu nikiwa ripota wa habari za matukio ya kihalifu. Wakati huo, yeye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa [RCO] wa Dar es Salaam, chini ya RPC Alfred Gewe.

 

MSIMAMO wa serikali ya Sudan, Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu amani ya Darfur, ni Rais Omar El Bashir kuachwa asaidie hatua za kupatikana amani nchini mwake.

Hawa Ng'humbi: DC mchapakazi Mvomero Alfred Lucas [1,957]
Sakata la Dowans: Waziri Ngeleja siyo mkweli Saed Kubenea [1,929]
Zitto amejikwaa, hajaanguka M. M. Mwanakijiji [1,565]
ZEC katika mtihani mgumu Jabir Idrissa [1,482]
NIC: Mchawi akabidhiwa mtoto Isaac Kimweri [1,479]
Mradi wa Ziwa Viktoria si endelevu Rutashubanyuma Nestory [1,444]
06/04/2010