HABARI MAHUSUSI

Mafisadi wamtishia Kikwete

Na Mwandishi Wetu 25 Mar 2009

Rais Jakaya Kikwete

WATUHUMIWA wa ufisadi, wanaolalamika kuwa Rais Jakaya Kikwete amewatelekeza, wanapanga kumhusisha katika baadhi ya tuhuma zinazowakabili ili kumshinikiza kutimiza matakwa yao, MwanaHALISI limeelezwa.

 
Dk. Harisson Mwakyembe
Na Mwandishi Wetu 25 Mar 2009

MBUNGE wa Kyela (CCM), Dk. Harisson Mwakyembe amembwatukia mfanyabiashara Rostam Aziz na kumwonya kuwa “kuna siku tutafyatuka…tusiheshimiane kabisa.”

 
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Na Saed Kubenea 25 Mar 2009

HITIMISHO la mjadala wa ununuzi wa mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya Dowans Holding (Tanzania) Limited, bado halijafikiwa.

 
Kingunge Ngombale  Mwiru
Na Mwandishi Wetu 25 Mar 2009

IPO mifano mingi duniani inayotolewa kukazia umuhimu wa uadilifu katika jamii, mojawapo ni tuhuma alizozushiwa mke wa Kaizari zama hizo kwamba hakuwa mwaminifu katika ndoa!

 

KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Chiligati amejenga mazingira ya kutumbukiza taifa katika janga kubwa la vita.

06/04/2010