HABARI MAHUSUSI

Vita vya makundi CCM vyamwandama Kikwete

Na Saed Kubenea 07 Apr 2009

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Dk. Harrison Mwakyemb
Mwakyembe amkomalia Chiligati
Mkuchika kuvaana na Makamba

VITA vya makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake, sasa siyo siri tena. Sasa vinaelekezwa moja kwa moja kwa Rais Jakaya Kikwete, MwanaHALISI limeelezwa.

 
AUGUSTINE Mrema, mwenyekiti wa chama cha cha Tanzania Labour (TLP)
Na Saed Kubenea 07 Apr 2009

AUGUSTINE Mrema, mwenyekiti wa chama cha cha Tanzania Labour (TLP) bado hajaacha tabia yake ya siku nyingi ya kushutumu na kutuhumu kila anayetofautiana naye.

 
Mwenyekiti wa Yanga, Imani Madega
Na Mwandishi Wetu 07 Apr 2009

SAFARI ya Yanga katika michuano migumu, yenye mvuto na utajiri mkubwa wa fedha katika ngazi za klabu barani Afrika, Ligi ya Mabingwa imefikia mwisho.

 
Rais Jakaya Kikwete
Na M. M. Mwanakijiji 07 Apr 2009

HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa 1 Aprili 2009, haiwezi kupita bila kujadiliwa. Sababu zipo nyingi. Lakini kubwa ni kwamba hotuba ya rais ni kichocheo cha mijadala.

 

TANZANIA haijasalimika na mtikisiko wa sekta ya fedha unaodhoofisha mtandao wa uzalishaji Marekani, Ulaya na Asia.

Wabunge 'wakwepa' kodi [4,436]
TUICO yajikanganya Alfred Lucas [2,241]
Labda wewe, wenzako Shamsi wanauza ardhi Jabir Idrissa [1,678]
Mzee Ndejembi, kila zama na mji wake Mbasha Asenga [1,660]
Viongozi woga, katili wa Bukombe Ndimara Tegambwage [1,656]
06/04/2010