HABARI MAHUSUSI

Mabilioni yakusanywa kumwangusha Kikwete

Na Saed Kubenea 14 Apr 2009

RAIS Jakaya  Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete atahitaji kutumia nguvu mara tatu kukabiliana na “genge” linalotaka kumzuia kugombea urais kwa kipindi cha pili, MwanaHALISI limeelezwa. Taarifa zilizopatika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zilisema, wanaotaka kumzuia Kikwete kugombea urais kwa kipindi cha pili, wamepanga kutumia, na tayari wamekusanya Sh. 2.5 bilioni kwa shughuli hiyo.

 
Kigamboni
Na Nyaronyo Kicheere 14 Apr 2009

WAKAZI WA wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, wameshutumu serikali kwa kusema mpango wa kuwahamisha ili kupisha wawekezaji kutoka nje ni “wizi mtupu.”

 
BENEDICTO  Mutachoka Mutungirehi
Na Alfred Lucas 14 Apr 2009

BENEDICTO Mutachoka Mutungirehi (42), amesema hana taarifa za kufukuzwa Tanzania Labor Party (TLP) na kwamba amesikia kupitia vyombo vya habari.

 
Jaji Joseph Sinde Warioba
Na Joseph Mihangwa 14 Apr 2009

FIKIRIA hili. Wewe ni mwenye nyumba. Siku moja, wakati umelala fofofo, majambazi yanaingia ndani na kusomba kila kitu. Baada ya muda mfupi, unaamshwa na minyukano ya majambazi hayo, yakitwangana baada ya kuhitilafiana juu ya mgawo wa kile yalichopora.

 
Baraza la Wawakilishi laandika historia Jabir Idrissa [2,029]
DPP Feleshi: Kagoda itakumwagia upupu Saed Kubenea [1,962]
Kigogo ang'olewa Bima [1,758]
Tumeshindwa kila mahali Stanislaus Kirobo [1,677]
Wananchi wanapoitwa 'wavamizi' Kilosa Ndimara Tegambwage [1,620]
Wanaompigia Kikwete kampeni, wanaogopa nini? M. M. Mwanakijiji [1,423]
05/04/2010