HABARI MAHUSUSI

Mkapa aangukia Kikwete

Na Saed Kubenea 21 Apr 2009

RAIS mstaafu  Benjamin Mkapa
Akutana na vigogo kuomba msaada
Tuhuma mpya zazidi kumuandama

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa amelalamika kuwa anasakamwa na wanasiasa na anachafuliwa, MwanaHALISI limeambiwa.

 
Yusuph  Makamba
Na Mwandishi Wetu 21 Apr 2009

UAMUZI juu ya shauri lililofunguliwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Yusuph Makamba na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Salum Londa dhidi ya mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee (Chadema), unatarajiwa kutolewa katika mkutano wa Bunge ulioanza hapa jana, imefahamika.

 
Umati  uliomlaki Wilfred Muganyizi Lwakatare
Na Alfred Lucas 21 Apr 2009

“HAIJAPATA kutokea!” Ndivyo wengi wanavyosema mjini Bukoba. Ni baada ya kuona umati uliomlaki Wilfred Muganyizi Lwakatare, akitokea Dar es Salaam kwenye Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF).

 

SERIKALI haiwezi kupinga ilishindwa kusimamia vizuri Operesheni Hamisha Mifugo kwenye maeneo tengefu mwaka 2006 na hivyo kuchochea ufukara kwa mamia ya wafugaji.

Mikopo Elimu ya Juu: Kama tunachangia, basi hatuna deni Owawa Stephen [2,144]
Wizara ya michezo ipo likizo? Steve Mwasubila [1,905]
Uhamisho ma-RC hauna tija Saed Kubenea [1,867]
NIC vituko vitupu [1,836]
Ole wao wapelekao kondoo kwa wezi M. M. Mwanakijiji [1,836]
Wasaidizi wako Karume ni mfanowe Jabir Idrissa [1,817]
04/04/2010